Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Mkuu, JF na Fikra Pevu ni familia mojaUnaipigia promo blog yako Hahaaaa
Hapana, Yanga wanatakiwa kujipanga, wasiidharau, maana ni timu nzuri hii...so..?!, wabovu'e.!!
Mkuu, JF na Fikra Pevu ni familia moja
Hao siyo wapinzani wa Yanga bali waliokua wapinzani wa Yanga katika kombe la Shirikisho.View attachment 341982
GRUPO Desportivo Sagrada Esperança ya Angola, wapinzani wa Yanga katika raundi ya tatu ya Kombe la Shirikisho, jana walibanwa mbavu baada ya kulazimishwa sare tasa na wenyeji Futebol Clube Desportivo 4 de Abril mjini Menongue katika Jimbo la Cuando Cubango.
Matokeo ya mchezo huo wa raundi ya...
Kwa habari zaidi, soma hapa => Wapinzani wa Yanga Kombe la Shirikisho wabanwa mbavu Angola | Fikra Pevu