George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Wabunge watatu wamejeruhiwa Jumanne, mmoja wao akiwa katika hali mbaya, baada ya vurugu kuzuka bungeni Serbia huku fataki na mabomu ya moshi yakirushwa.
Mvutano ulianza wakati wa kikao cha kupiga kura kuhusu ufadhili wa elimu ya juu, ambapo upinzani ulidai kikao hicho si halali kabla ya kuthibitisha kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Milos Vucevic.
Spika wa Bunge, Ana Brnabic, aliutuhumu upinzani kuwa ni "genge la kigaidi," huku tukio hilo likionyesha mgogoro mkubwa wa kisiasa unaotikisa serikali ya Serbia kufuatia maandamano ya muda mrefu dhidi ya ufisadi.
========================================================
At least 3 lawmakers were injured on Tuesday, one of them seriously, after chaotic scenes in Serbia’s parliament, during which smoke bombs and flares were thrown.
Lawmakers were scheduled to vote on a law that would increase funding for university education, but opposition parties insisted the session was illegal and should first confirm the resignation of Prime Minister Milos Vucevic and his government.
The Parliamentary chaos started about an hour after the session started with opposition blowing whistles and holding up a banner reading “Serbia has risen so the regime would fall!”
Video footages from the assembly hall showed a clash first between lawmakers and later flares and smoke bombs being thrown. Serbian media said eggs and water bottles also were thrown. Officials later said three persons were injured in the disturbance.
Source: Independent UK