Wapinzani wanacheza ngoma ya CCM

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
7,134
Reaction score
4,556
- kiufupi niseme tu kama kuna chama chenye mbinu za siasa hii nchi basi ni CCM peke yake.
nikianza kwenye miaka ya 2000 wakati nkiwa mkereketwa wa upinzani kwa sababu skuwahi kumpenda kikwete na utawala wake,
CCM walimtumia Lowasa 2015 kufanya mission yao (nikiri kwamba hapa ndipo nlipo hama upinzani rasmi kwa sababu hazikua akili za chama kimoja bali kulikua na ukawa so its safe to say akili za upinzani zko sawa) , upinzani uliwanadi ccm bila kujua na hatimae ccm walipata ushindi

Yale maneno ya baba wa taifa kwamba upinzani wa kweli utatoka CCM kwa wenyewe basi ndo unaoendelea kuonekana mpaka sasa

hawa ni enzi ya ccm ikiwa upinzani

Wakati Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT anaendelea na jitihada za kuponya umoja wa kitaifa kutokana na madhila yaliyofanywa kwa upinzani na makundi tofauti ya watu na mwendazake, bado kuna watu kama wewe mnataka kuturudisha ktk utawala wa giza.
 
Hii nchi haina upinzani, ila waganga njaa kina Lema.

Vyama vya siasa vya upinzani vinaongozwa ki gangstar/Mafia style unategemea watakuja kushika nchi kweli?
 
Hongera ziende kwa JPM, hakika aliua upinzani ambao wengi wao ni vibaraka wa mabeberu tu.
 
Wakati Mama SSH Rais wa JMT anaendelea na jitihada za kuponya umoja wa kitaifa kutokana na madhila yaliyofanywa kwa upinzani na makundi tofauti ya watu na mwendazake, bado kuna watu kama wewe mnataka kuturudisha ktk utawala wa giza.

bora sasa ingekua utawala wa giza alafu kwa watu wa maaana! sasa ni wale wale mwenyekiti hajaenda shule anaegombea uraisi mwanafunzi wa HKL
 
Hii nchi haina upinzani, ila waganga njaa kina Lema.

Vyama vya siasa vya upinzani vinaongozwa ki gangstar/Mafia style unategemea watakuja kushika nchi kweli?
Waganga njaa na ma-gangstar wapo kwenye ripoti ya CAG. Kwa sasa CHADEMA hawahusiki ninapotaka kuangalia mustakabi wa kimaendeleo wa Taifa.
 
Waganga njaa na ma-gangstar wapo kwenye ripoti ya CAG. Kwa sasa CHADEMA hawahusiki ninapotaka kuangalia mustakabi wa kimaendeleo wa Taifa.

mandeleo ya taifa ni pamoja na vyama vya upinzani ndo maaana kodi za wananchi mnazichukua kama ruzuku
 
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT anaendelea na jitihada za kuponya umoja wa kitaifa kutokana na madhila yaliyofanywa kwa upinzani na makundi tofauti ya watu na mwendazake, bado kuna watu kama wewe mnataka kuturudisha ktk utawala wa giza.
Wewe ngoma ya CCM ndio imekukolea kweri kweri!
 
Hongera ziende kwa JPM, hakika aliua upinzani ambao wengi wao ni vibaraka wa mabeberu tu.
Upinzani ulijiua wenyewe kwa kupoteza uhalisia.

Chama kinachojiita cha kidemokrasia hakiko tayari kubadili mwenyekiti. Hapo lazima wananchi wawe mazuzu ili waendelee kukiamini.

Chama ambacho maamuzi yanafanywa kutokea mfukoni mwa mtu mmoja hakiwezi kubaki imara.

Chama ambacho wabunge wake wamesusia bunge Ijumaa kwa madai ya kwenda kujikarantini kuepuka korona; wabunge wake wanaonekana Dar es Salaam weekend nzima wakigombana na Makonda. Sugu alijipost akipiga supu Dar akimnanga Makonda akamkamate ikiwa ana ubavu!

Jumatatu yake ndiyo wakatinga Dodoma kuanza karantini yao huku wakijipost mitandaoni kuwa "sasa karantini inaanza rasmi"! Sasa hicho ni chama au kundi la wapuuzi wanaotafuta madaraka?

Chama kama hicho kinapopata mbunge mmoja wa kuchaguliwa unasemaje kiliuawa? Bila shaka vimejiua vyenyewe.
 
Sasa hivi ni madalali wa AstraZeneca 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…