Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 233
- 541
Wapinzani wamepandishiwa gharama za mafuta ukiende sheli na kadi ya uanacha wa ccm mafuta utauziwa kwa sh 1700 Kama Zambia.
Tozo ya miamala ya CCM haiwahusu wanaccm hiyo ni maalumu kwa wapinzani wanaisoma namba,mwanaccm ukienda kwa wakala ukionesha kadi yako aaah hizo tozo hazikuhusu.
Wapinzani tuwakanyaje,tuwakunje, tuwatupe ccm juu. Wapinzani mtajuta kuto ipigia kura ccm 2020,oneni Wana ccm wanavyo kula bata