Kiwalani finest
Member
- Jul 6, 2024
- 97
- 72
WAPINZANI MNAPORUDI CCM NI LAZIMA MFAHAMU CCM INAONGOZWA KWA SHERIA, KANUNI MIONGOZO NA TARATIBU ZINGINE.
Tusome Katiba ya CCM 1977 toleo 2020 uk 07 ibara 12(1) kisha tukasome uk 151 kifungu cha 01 na cha 08
Niliwahi kusoma Gazeti la TAZAMA la Tarehe 7 -13/01/2020 uk 05 liliandika, Wakati huo Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli alinukuliwa akisema," Tumelaliwa muda mrefu sana, na ukikubali kulaliwa utaumia. Na ukisubiri watu wakushauri, Watakushauri kwa interest zao." Mwisho wa kunukuu
Nilisoma tena Gazeti hilo uk 09 Comrade Fred Mpendazoe (Mwandishi wa Makala) Aliandika,"Ili wananchi Wawe huru katika Taifa huru, basi Demokrasia ni kitu cha LAZIMA. Demokrasia ni NGUZO KUU YA AMANI na utulivu nchini."
"Demokrasia ya kweli inataka Watu WAKUBALIANE KUTOKUBALIANA Na waendelee kujadiliana na KUBISHANA kwa Moyo wa kuvumiliana na kuheshimiana bila kufikia hatua ya kutukanana." Mwisho wa kunukuu
Tukisoma Kitabu cha Binadamu na Maendeleo uk 33 - 35 Mwl JK Nyerere anatukumbusha, Demokrasia "Kila mtu lazima aweze kusema kwa Uhuru kabisa na Maneno ya kila mtu lazima yasikilizwe. Hata Kama Mawazo ya Mtu huyo HAYAPENDWI kiasi gani, Au walio wengi wanamdhania amepotoka kiasi gani, Si kitu,
"Kila Mtanzania, kila mtu kijijini, kila mjumbe wa halmashauri ya Wilaya, Kila Mbunge nk" "Lazima aweze kusema kwa Uhuru bila HOFU YA VITISHO." Mwisho wa kunukuu Tukisoma tena Kitabu hiki uk 35 Mwl JK Nyerere anatukumbusha, "SHERIA ikisha pitishwa lazima kila Mmoja AITII sheria ile." Mwisho wa kunukuu
Tusome katiba ya CCM 1977 Toleo 2020 uk (ii) na uk (vi) Tusome katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 uk 27 ibara ya 26(1) Tukisoma Kitabu cha 21 Irrefutable laws of leadership uk 75
Mwandishi John C Maxwell Anatukumbusha, "A leader's good Character builds TRUST among his followers.
But when a leader breaks TRUST, he forfeits his ability to lead."
Nakumbuka Tarehe 08/ May / 2021 Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Ally Hassan Mwinyi Alitamka maneno haya, "Sambamba na KUKIENZI Kiswahili, nakushukuru Mzee Mwinyi kwenye Kitabu chako Umetukumbusha Usia wa Baba wa Taifa Mwl Nyerere kwa Watanzania kuhusu kutokupuuzia lugha ya KIINGEREZA, ambayo Yeye ( Mwl JK Nyerere) aliita Kiswahili cha Dunia." "Alitoa Wosia huo kwa sababu Tanzania HAIISHI PEKE YAKE Duniani na hivyo TUNAHITAJI kushirikiana na Dunia katika Mambo MBALIMBALI."
"Na Mimi niseme kwa wakati huu tulio nao ,ni vyema TUJIFUNZE LUGHA KADHAA AMBAZO ZIMEKUBALIKA kutumika Kama lugha za Mawasiliano katika Jumuiya za kikanda na kimataifa." "Lakini tusisahau KUTUKUZA kilicho chetu nacho kifikie hadhi hiyo." Mwisho wa kunukuu.
Tukisoma Biblia Takatifu Mithali 4 : 20 Maandiko Matakatifu yanasema, "Mwanangu SIKILIZA MANENO YANGU,
Tega sikio lako uzisikie kauli zangu." Mwisho wa kunukuu
Tukisoma Kitabu cha Muntakhab Ahadth uk 769 Maandiko Matakatifu yanasema, "Ma'qil bin Yasar Radhiallahu Anhu amesimulia kuwa Rasullullahi Swallallahu Alaihi Wasallam amesema, "Mtu yeyote aliyepewa nafasi kwa Ajili ya KUONGOZA MAMBO YA WAISLAM, Na akafa Akiwa anawafanyia HIANA , ALLAH, Atamharamishia JANNAH."
(Hatoionja Pepo) Mwisho wa kunukuu
Tukisoma tena Kitabu hiki uk 770 Maandiko Matakatifu yanasema, "Abu Hurairah Radhiallahu Anhu amesimulia kuwa Rasullullahi Swallallahu Alaihi Wasallam amesema, "Kama mtu Yeyote amepewa UAMIRI ( Uongozi) juu ya watu kumi au zaidi LAKINI HAKUFANYA UADILIFU KWAO , Basi atakuja siku ya kiama Akiwa amefungwa Minyororo na Pingu." Mwisho wa kunukuu
Wapinzani Mnapokata Shauri kurudi CCM mjiandae KISAIKOLOJIA kwani ni Ukweli Mlituumiza sana na laiti tusingekuwa NGANGARI, Naamini kwa USALITI WENU TUSINGEWEZA KUSHIKA DOLA kwani hamkuwa na NI NJEMA YA KUIUNGA MKONO ILANI YETU YA CCM.
MLIKUWA Mnaipinga na kuikataa katu katu na Mnatuombea Mabaya CCM tuharibikiwe ili tushindwe kuwaletea maendeleo Watanzania na utulivu wa Mioyo yao, mlikuwa MNAIWEKEA MAZINGIRA YA KUNUKA uvundo Ilani YETU MBELE YA JAMII..
Wanaccm WAFIA CHAMA TULIKAZA BUTI JUA LETU MNVUA YETU HADI TUKASHIKA DOLA. MKATAHAYARI
Tukisoma Kitabu cha Nukuu za Kiswahili za Mwalimu uk 233
Mwl JK Nyerere anatuambia, " Ukweli una Tabia MOJA nzuri sana, Haujali Mkubwa wala Mdogo , haujali adui wala rafiki KWAKE WATU wote ni sawa." Mwisho wa kunukuu
Nakumbuka Tarehe 15/10/2019 Gazeti la Majira uk 10 Liliandika, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Alisema, "Mwandishi Mzuri ni yule ambaye akizungumza, anaweka na Takwimu, hii inathibitisha namna ambavyo amefanya TAFITI ZA KUTOSHA NA KUJIRIDHISHA kwa kile ambacho amekitumia kukiandikia." Mwisho wa kunukuu.
Wanaccm wenzangu usaliti kwa CCM ni jambo baya kabisa. Kama tunaweza kuwatendea wema wapinzani,
Tumekwama wapi kutendeana wema sisi kwa sisi. Kwani sisi tulihitilafiana nini kikubwa hadi tunadharauliana na kuchukiana kiasi kwamba sisi tulio umia kuinadi ilani. Hatutoshi sasa kuitekeleza wenyewe wahusika mpaka tupate watu kutoka upinzani? Hivi kweli sisi million kumi na mbili ni tia maji tia maji? Kweli? Mimi siamini kabisa.
Ila ninayo matumaini ya kuwa sisi wanaCCM milioni kumi na mbili na zaidi tupo wasomi na wasio soma wenye uwezo mkubwa wa kuhakikisha ilani inatekelezwa kwa asilimia kubwa tena kwa ufanisi mkubwa.
Mtu aliyekuwa anaichukia ilani yetu hawezi kuitekeleza kama wale walio umia na kupata ulemavu wengine wakikesha kwa kushindia mapande ya mihogo na hadi leo ni omba omba wapiga virungu.
WAZEE WA BESENGA.
Tukisoma Kitabu cha Power of Positive thinking uk 76 Mwandishi Anu Sehgal anatuona, "As we become UNCOMFORTABLY Stressed, Distractions, difficulties, anxieties and negative thinking begin to crowd our minds." Mwisho wa kunukuu
Tukisoma Kitabu cha Kanuni za Uongozi na Maadili uk 02 kifungu cha (iv) Maandiko yanasema, "Kufuata na kutii KATIBA ya CCM na Kanuni zake ni WAJIBU wa kila Mwanachama wa CCM." Mwisho wa kunukuu
Tusome katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 Toleo 2005 uk 27 ibara 26 (1) Tukisoma Kitabu cha Kanuni za Fedha na Mali za Chama na Jumuiya zake uk 164 - 165 Utawala wa sheria kifungu 14 , 2🙁b) Maandiko yanasema,
"Chini ya Kanuni hii , Itakuwa ni KWENDA KINYUME na katiba ya Chama kufanya Maamuzi yenye KUONEA, KUDHALILISHA, KUBAGUA, kushiriki Matendo ya Rushwa,, Ubadhilifu, kughushi au Vitendo vyovyote vinavyoweza kukidhalilisha Chama Mbele ya Jamii. Kiongozi au Mtumishi yeyote atakayebainika kuvunja Kanuni hii atachukuliwa hatua za kinidhamu kwa mujibu wa Kanuni hizi." Mwisho wa kunukuu
Wanaccm hapa tunaona Kama ni sheria ziwe kwa wote .Ubaguzi na Upendeleo havitakiwi ya kwamba YULE ANA FEDHA na yule ni KAPUKU MFIA CHAMA. WOTE TUKO SAWA MBELE YA SHERIA NA HAKI ZINGINE.
Tusome katiba ya Kanuni za Fedha na Mali za Chama na Jumuiya zake uk 165 kifungu cha 14, 3
Kufuata Masharti ya katiba ya CCM. Tusome katiba ya CCM 1977 Toleo 2020 uk 1 ibara 4(1)(2), ibara 5(15)(16)(17)(18), ibara ya 6, 7,na 8.
Tusome katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 uk 15 ibara ya 3(1) na uk 18 Ibara ya 9(a)(h)(i)(k) na uk 20 ibara 12(1)(2) na ibara 13 (4)(5)
Tusome Kitabu cha Azimio la Arusha uk 04 kifungu cha (i) Tukisoma Kitabu cha Kanuni za Uongozi na Maadili Toleo 2017 uk 04. Maandiko yanasema, "Maadili ya kiongozi yakitetereka, Chama kitavurugika na nchi itakwenda Mrama. Hivyo jukumu la kiongozi litakuwa. Kujenga na KUKILINDA CHAMA.
KUWA NA MAADILI MEMA NA KUTOTENDA MAOVU. KUTIMIZA WAJIBU WAKE KWA UKAMILIFU." Mwisho wa kunukuu
Tusome katiba ya CCM 1977 toleo 2020 uk 10- 11 ibara ya 15 yote. Niliwahi kusoma Kitabu cha 100 Ways to Motivate yourself uk 181 Mwandishi Steve Chandler aliwahi kuandika, " When People known exactly where they are, They can go somewhere from there. But being Lost is a function of dishonest And when where lost or dishonest anywhere we go from there is WRONG. When we start with a FALSE READING, there's no Direction home." Mwisho wa kunukuu
Nakumbuka Tarehe 05/09/2019 uk 04 Gazeti la Majira liliandika Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati huo Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliwahi kutamka, "Ni Muhimu kusamehe pale mtu anapokukosea, Maandiko yanasema, TUYAISHI, Nikajiuliza Mimi kila siku naomba Msamaha kwa Mungu na ile sala tusamehe makosa yetu Kama tunavyowasamehe ." "Ni Muhimu KUJIFUNZA kusamehe kwa sababu Sisi sote ni Watoto wa MUNGU Mmoja." Mwisho wa kunukuu
Mwanadamu alipoanguka kwenye dhambi , Mungu alimsamehe na akamuwekea Utaratibu.(Sheria).
Kusamehe ni Jambo jema. Mtoto Mpotevu akirudi nyumbani HUSAMEHEWA ILA HUPEWA UTARATIBU ALIOUKUTA NYUMBANI. WAPNZANI WANAPORUDI NI LAZIMA WAFUATE KATIBA, KANUNI , MIONGOZO NA TARATIBU ZA CCM.
Tusome katiba ya CCM 1977 Toleo 2020 uk 08 - 09 Ibara ya 13(5) kisha tusome uk 07 ibara 12 ( 1) na baadae uk 151 kifungu cha (1) - (9) na WAWE WAPOLE WASIWE NA HARAKA KAMA SISI TUNAVYOUMIA NA KUENDELEA KUSUBIRI NA HUU NDIYO UTU NA UTAWALA BORA.
Tusome Ilani ya CCM 2020 uk 161 -168. Nakumbuka Tarehe 15/10/2019 uk 10. Gazeti la Majira lilimwandika Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliwahamasisha Watanzania kujenga Utamaduni wa kuandika vitabu Pamoja na tabia ya KUSOMA vitabu, Kwani kwa sasa Changamoto iliyopo watu wengi HAWASOMI ikilinganishwa na Miaka ya zamani." Wanaccm na Watanzania wenzangu tujisomee vitu mbali mbali tukuze UELEWA WETU.
Niliwahi kusikiliza wimbo wa Mwana muziki wa Zamani Hayati Bob Nesta Marley. Kuna maneno niliyasikia yamegoma kukota ndani ya Ubongo wangu na Sijui kwa nini nayo NI haya. "You can fool some people sometimes, But You can't fool all the people all the time. Now you see the light, Stand up for you are right" Mwisho wa kuyakumbuka Tukisoma Kitabu cha Kanuni za Uchaguzi wa CCM Toleo 2017 uk (vii)
Maandiko yanasema, Uongozi bora katika Chama chetu una Masharti matano
Moja ya sharti. "Muda wa Uanachama wa kila Mgombea usipungue MIAKA MITANO MFULULIZO ili Chama kiwe na UHAKIKA na MSIMAMO WAKE." Hii inawahusu hata wanaorudi CCM Baada ya kujiuzulu, kuachishwa au kufukuzwa Uanachama." Mwisho wa kunukuu
Tusome katiba ya CCM 1977 Toleo 2020 uk 05 ibara 5A(4) kisha tusome uk 04 ibara 5(16)(17)(18). Tusome katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 Toleo 2005 uk 20 ibara ya 13(4)(5)
Sheria yeyote yenye kubagua watu kwa aina yoyote bila kuwatendea watu USAWA NA HAKI. Sheria hiyo inavunja Katiba na KUZISIGINA ambazo zimekataza UBAGUZI NA UPENDELEO WA AINA YEYOTE ILE. HATA AZIMIO LA ARUSHA LIMEKATAZA PIA uk 04 kifungu i.
Kusimamia Maadili ni KUTENDA HAKI NA USAWA NA KUZITAFSIRI SHERIA KATIKA MAZINGIRA AMBAYO HAYATAKUWA NA VIASHRIA VYA KIBAGUZI NA KIUPENDELEO. Tukisoma Kitabu cha Kanuni za Uongozi na Maadili uk 08 - 09
Moja ya kazi za Kamati ya Usalama na Maadili ni kusimamia IPASAVYO Maadili ya Wanachama, VIONGOZI, na vikao VYAO. Kulingana na HAKI, WAJIBU, IMANI na Masharti ya Wanachama wa CCM. Mwisho wa kunukuu
Tusome katiba ya CCM 1977 Toleo 2020 uk 6 - 7 ibara yote ya 08. Tusome Kitabu cha Kanuni za Uongozi na Maadili uk 16 - 17 kifungu cha 5(1)(2). Tukisoma Kitabu cha Mwongozo wa CCM 1981 uk 138 - 139 kifungu cha 159
Maandiko yanasema, "Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi, Kwanza kabisa lazima awe na Msimamo wa Kijamaa . Itikadi yake ya Kijamaa, Vitendo na TABIA yake vijidhihirishe kwa wanao waongoza,
WANACHAMA na wananchi, kuwa ni vya KIJAMAA. Imani ya kiongozi INAAMBUKIZA NA KUIMARISHA Imani ya anao waongoza . Lakini kiongozi anayegunduliwa na ANAO WAONGOZA KUWA NI MNAFIKI KWA MSIMAMO NI ADUI MKUBWA KWA CHAMA Maana anawavunja moyo Wanachama , Anawavuruga Wananchi,
Na kuunda hali itakayowafanya Wananchi wasiwe na Imani na Viongozi wengine na CHAMA."Mwisho wa kunukuu. Wanaccm Wenzangu Tukisoma Kitabu cha Kanuni za Uongozi na Maadili uk 31 kifungu cha (vii)
Maandiko yanasema
"Kiongozi aliyegundulika kuwa ni MNAFIKI , MSALITI NA MWENYE KUKIUKA MAADILI YA CHAMA KWA KIASI CHA KUVURUGA UHAI WA CHAMA, au ambaye hakuweza kujikosoa hata baada ya afhabu ya Karipio ,
Basi Kamati ya Usalama na Maadili ya Taifa inaweza kupendekeza mbele ya kamati kuu Mwanachama huyo afukuzwe kutoka katika Uongozi wa Chama.
Ikithihirika Kamati kuu itapeleka shauri hilo mbele ya Halmashauri Kuu ya Taifa kwa Uamuzi wa Mwisho hivyo
Adhabu ya Mwanachama kufukuzwa kutoka katika Uongozi itatangazwa hadharani.
Mwanachama atakayepewa adhabu ya kufukuzwa kutoka katika Uongozi atakuwa katika Hali ya KUCHUNGUZWA KWA MUDA USIOPUNGUA MIEZI 42 NA KATIKA KIPINDI HICHO ATATAZAMIWA KUTIMIZA MASHARTI NA WAJIBU WOTE WA MWANACHAMA na kudhihirisha NIA YAKE YA KUTAKA KUJIREKEBUSHA."
Mwisho wa kunukuu Tusome katiba ya CCM 1977 toleo 2020 uk 06 - 07 ibara ya 8(1) - (7) (Masharti ya Uanachama) Tusome katiba ya CCM 1977 Toleo 2020 uk 10 - 11 ibara 15(1) - (9) (Wajibu wa Mwanachama)
Wanaccm Wenzangu na Watanzania wenzangu, nimeyaandika yote hayo ili kuweka Msisitizo wa KUTENDEANA HAKI KWA KUFUATA MAANDIKO YETU NA KUTILIA MSISITIZO WA UMUHIMU WA WALE TUNAO WAPOKEA KUTOKA UPINZANI WA KUFUATA SHERIA ILI KUONDOA MIGONGANO ISIYO YA LAZIMA MIONGONI MWETU ILI KUKUZA UMOJA WETU NA UPENDO WA KUTENDEANA HAKI NA USAWA HUKU TUKIJIEPUSHA NA MATENDO YA KIBAGUZI NA KIUPENDELEO NA MATUMIZI MABAYA YA NAFASI ZETU KUISIGINA KATIBA YA CCM NA ILE YA MUUNGANO AMBAYO TULIAHIDI NA KUAPA KUZILINDA NA KUZITII.
Nakumbuka Tarehe 10 - 16/11/2019 Jumapili uk 08 Gazeti la MZALENDO Msomi Dkt Muhamed Seif khatibu
Aliandika, "Kiapo ni Yamini . Ni kauli anayotoa mtu kuthibitisha au kujifunga na Jambo
kifungo hicho cha kiapo aghlabu huambatana na Itikadi au imani ya Mtu. Kwa lugha nyingine ENDAPO ATAKWENDA KINYUME CHA KIAPO CHAKE ALAADHIBIWE HAPA HAPA DUNIANI na Mamlaka iliyompa Madaraka na pia ALAANIWE KWA DHAMBI ILIYOKWENDA KINYUME CHA KIAPO." Mwisho wa kunukuu
Kama Mwanaccm aliyekengeuka anaweza KUPEWA adhabu ya Miezi 42 na Masharti juu, vipi Hawa WALIOTUUMIZA KISAWASAWA , NA KATIBA ZETU ZINAKATAA KABISA UBAGUZI NA UPENDELEO WA KUWANUFAISHA WENGINE NA KUWAUMIZA WENGINE, WANASTAHILI ADHABU GANI HAWA?
Tukisoma Kitabu cha Nukuu za Kiswahili za Mwalimu uk 74 Mwl JK Nyerere aliwahi kusema, "Viongozi wetu Wakuu hawawezi kukiuka Uamuzi na MSIMAMO WA CHAMA KIZIMA , halafu wadai kuungwa Mkono na Viongozi wa chini yao au na Wanachama kwa Ujumla. Kwa KWELI tunatazamia kuwa Viongozi hao Watapingwa kwa nguvu kabisa na Kama hapana budi Kufukuzwa. Huko ndiko kuwajibika." Mwisho wa kunukuu
Niliwahi kusoma Kitabu cha The Magic of Thinking Big uk 128 Mwandishi David J Schwartz PhD
Aliwahi kuandika, "Prolonged Association with negative people makes us think negatively;
Close contact with petty individuals develops petty habits in us. On the bright side, Companionship with people with Big ideas raises the levels of our thinking; Close contact with ambitious people gives us ambition."
Mwisho wa kunukuu
Wanaccm Wenzangu TUNALO SASA JUKUMU KUBWA KUMSAIDIA MWENYEKITI WETU CCM TAIFA KWA KADRI YA UWEZO WETU KWA KUHAKIKISHA CHAMA CHETU KINAIMARIKA TUKIWA NA MSHIKAMANO NA UPENDO. RAIS WETU Mpendwa anayo Majukumu mengi mno ndani ya nchi.
NI juu yetu KUELEWA HAYA NA KUMSAIDIA TUKASHIKAMANA NAYE BEGA KWA BEGA KUHAHIKISHA UFANISI WA MALENGO YOTE UNAKUWA NA MATOKEO CHANYA YALIYO KUSUDIWA bila kusahau kuziishi na kuzitii katiba, Kanuni , Miongozo, na Taratibu TULIZOJIWEKEA huku tukimtanguliza Mungu kila mtu kwa Imani yake KUYAISHI MAAMRISHO YA MUNGU KWA IMANI ZETU.
Nakumbuka March 2021 Katika Shughuli za Mazishi ya Dkt Magufuli Chato Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan alitamka maneno haya, "Sasa nimalizie kwa kuungana na Mheshimiwa Spika (Job Ndugai) kurudia, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kurudia katika Kitabu cha Isaya sura 41 (Biblia) Yale Maneno aliyoyasema kwamba kweli tumetokewa na tulilotokewa Lakini Mungu hatatuacha,
Tuendelee kumwelekea Mungu naye atatushika Mkono twende vile tulivyojipanga." Mwisho wa kunukuu
Tukisoma Qur aan Tukufu Juzuu 23 Sad (38) Surati Sad kifungu cha 26 uk 490 Maandiko Matakatifu ya Mwenyezi Mungu yanasema, "Ewe Daud hakika tumekujaalia kuwa KHALIFA katika ardhi, basi WAHUKUMU watu kwa haki wala USIFUATE MATAMANIO ya nafsi yasije yakakupoteza na njia ya Mwenyezi Mungu, Wao watapata adhabu kali kwa sababu ya kusahau na kupuuza kwao siku ya hisabu." Mwisho wa kunukuu
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mathias Mugerwa Kahinga
🤲🏾🤲🏾🤲🏾🙏🏿🙏🏿👏🏿👏🏿👏🏿