TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau..!
Kuna ka msemo ka waswahili kanasema "ngoma si yako wavaaje kibwaya",hii ndio inajidhirisha kwa wapinzani.
Yaani siku hizi wamekuwa hawama ajenda isipokuwa kudandia dandia ,hii naona ina wafanya wasahaurike na wasisiskike tena kwenye ulingo wa siasa.
Naona kama wapimzani wameanza kuunga mkono juhudi za CCM kupitia mama pasipo kujijua ,kweli huyu Spika Ndungai ana akili nyingi sana anastahili hata PhD maana anafanya kazi ya uspika,pia anapiga kazi ya uenezi kwa wakati mmoja.
Kwa sasa wapinzani wamekosa ajenda ya kuongea,ila Mbowe alishaona ngoma iliyokuwa inapigwa na Ndungai ni ya kuwapoteza wapinzani wasisikike ameamua kuja na kubadilisha upepo ndio maana wakati Hayati JPM anapondewa wana CCM tulikaa kimya sababu tunajua mdundo wa ngoma unaopigwa bungeni na CAG ni kama wa kichawi sawa na hile ngoma aliyokuwa anapiga shujaa mmoja wa vita kwenye simulizi za kale ngoma ambayo ilikuwa ikipigwa tu maadui wote wanalala usingizi wa pono harafu anawakata vichwa
Wapinzani wasishangilie Hayati JPM anavyokashifiwa hiyo ni moja kati ya Propaganda kama hawajajua ,JPM machoni mwa wananchi na wana CCM yupo safi na kaondoka msafi tu .
Pia baadhi ya wana CCM wanatakiwa wajielewe wasije wakacheza ngoma ya kichawi inayopigwa na CAG wakajikuta wanajiunga na wapinzani watalala usingizi wa pono,ile ngoma imeandaliwa maarumu kwa wapinzani ili tuwapigie wakilala 2025 tunawala vichwa mapema kweupe ,maana 2025 sio tena bao la mkono wala kusepa na mabox 2025 ni ushindi mchana kweupeeee maana mama ni mtu wa haki na anataka haki.