Wakuu,
Jamaa wameruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa waliyokua wanalilia kila wakati, inashangaza mbona hawana hata hoja za maana?
Haikuepo sababu kabisa kuwazuia wasifanye mikutano, ukiwasikiliza hawana hoja yenye mashiko hata moja. Kwa aina ya wapinzani hao kuchukua dola kwanza wasahau milele.
Tanzania hakuna upinzani, ni chama kimoja na magenge madogomadogo ya watu waliojikusanya kupoteza muda wao.