Ukiwafungia ndio unawapa kiki kule twitani
Mfufue Jiwe halafu muulize kiukweli 2015 na 2020 alipata kura ngapi .Wakuu,
Jamaa wameruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa waliyokua wanalilia kila wakati, inashangaza mbona hawana hata hoja za maana?
Haikuepo sababu kabisa kuwazuia wasifanye mikutano, ukiwasikiliza hawana hoja yenye mashiko hata moja. Kwa aina ya wapinzani hao kuchukua dola kwanza wasahau milele.
Tanzania hakuna upinzani, ni chama kimoja na magenge madogomadogo ya watu waliojikusanya kupoteza muda wao.
Nadhani sababu kubwa ya kufunga mikutano hiyo ya kisiasa ni kwa vile ilikuwa mara kadhaa ilikuwa inahimiza vurugu na uvunjaji wa sheria, huenda kwa kukosa hoja.Wakuu,
Jamaa wameruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa waliyokua wanalilia kila wakati, inashangaza mbona hawana hata hoja za maana?
Haikuepo sababu kabisa kuwazuia wasifanye mikutano, ukiwasikiliza hawana hoja yenye mashiko hata moja. Kwa aina ya wapinzani hao kuchukua dola kwanza wasahau milele.
Tanzania hakuna upinzani, ni chama kimoja na magenge madogomadogo ya watu waliojikusanya kupoteza muda wao.
Huu ndio ukweli 100%.Hayo magenge madogomadogo yote huvizia asali idondokayo kwenye genge kubwa.Tanzania hakuna upinzani, ni chama kimoja na magenge madogomadogo ya watu waliojikusanya kupoteza muda wao
Watu wakizeeka wanaongezeka hekima lakini kuna wengine ni mashaka matupu!Nadhani sababu kubwa ya kufunga mikutano hiyo ya kisiasa ni kwa vile ilikuwa mara kadhaa ilikuwa inahimiza vurugu na uvunjaji wa sheria, huenda kwa kukosa hoja.
Huwa mnajifungia wapi na kusoma Uhuru na Mzalendo pekee? Kwa nini hamjichanganyi na Watanzania wengine kujua wanasema nini?Muda kidogo wananchi watawapuuza
Una matatatizo kuamini kuwa busara ni kusema jambo linakufurahaisha wewe binafsi tu hasa iwapo akili yako ni butuWatu wakizeeka wanaongezeka hekima lakini kuna wengine ni mashaka matupu!
Mkongwe unanii?
Naunga mkono hoja, huu ni ukweli mchungu!. Nilimshauri sana Blaza hakuna sababu yoyote ya msingi kuzuia mikutano, na nikawaomba Tume ya uchaguzi, wagombea wote wa upinzani hata wenye mapungufu, wawapitishe wote bila kuwaengua na kuwashauri wapinzani waweke wasimamizi kila kituo, Uchaguzi 2020 - Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa hakiWakuu,
Jamaa wameruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa waliyokua wanalilia kila wakati, inashangaza mbona hawana hata hoja za maana?
Haikuepo sababu kabisa kuwazuia wasifanye mikutano, ukiwasikiliza hawana hoja yenye mashiko hata moja. Kwa aina ya wapinzani hao kuchukua dola kwanza wasahau milele.
Tanzania hakuna upinzani, ni chama kimoja na magenge madogomadogo ya watu waliojikusanya kupoteza muda wao.
Yupo kaburini tu mmepoteana, akifufuka si mtaozea Ubelgiji na Canada?Mfufue Jiwe halafu muulize kiukweli 2015 na 2020 alipata kura ngapi .
Umechoka Kichuguu au uliyemrithisha ID yako hakutendri hakiUna matatatizo kuamini kuwa busara ni kusema jambo linakufurahaisha wewe binafsi tu hasa iwapo akili yako ni butu
Tumehuru kutoka mbinguni iwe na askofu mwamasika na askofu bagonza wa Mwanza.Hivi toka wafanye mikutano tofauti na kumsema marehemu john kuna kipya umesikia wamegusia?
Ulitaka wakuguse mkono?Hivi toka wafanye mikutano tofauti na kumsema marehemu john kuna kipya umesikia wamegusia?