N nainai1 Member Joined Nov 30, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Dec 28, 2014 #1 Msaada, naomba mwenye kujua namna ya kupika wali wa rangi na rosti la kuku wa kienyeji👏👏👏
Msaada, naomba mwenye kujua namna ya kupika wali wa rangi na rosti la kuku wa kienyeji👏👏👏
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Dec 29, 2014 #2 Una maanisha biriyani?
N nainai1 Member Joined Nov 30, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Dec 29, 2014 Thread starter #3 Ndio dada farkhina
ras mkweli JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 280 Reaction score 105 Dec 29, 2014 #4 Changanya mavi ya kuku utakuwa na rangi ni mtizamo tu
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 4,632 Reaction score 1,773 Dec 29, 2014 #5 ras mkweli said: Changanya mavi ya kuku utakuwa na rangi ni mtizamo tu Click to expand... Utakuwa ni miongoni mwa watu wapumbavu, vitu ambavyo huvijui kaa kimya.
ras mkweli said: Changanya mavi ya kuku utakuwa na rangi ni mtizamo tu Click to expand... Utakuwa ni miongoni mwa watu wapumbavu, vitu ambavyo huvijui kaa kimya.
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,235 Reaction score 5,854 Dec 29, 2014 #6 ras mkweli said: Changanya mavi ya kuku utakuwa na rangi ni mtizamo tu Click to expand... Hulitendei haki hilo jina ulilojipa labda kama ulijipa kwa ajili ya bhangi unazovuta lakini kama kwa hekma ma-ras hawako hivyo ndugu.
ras mkweli said: Changanya mavi ya kuku utakuwa na rangi ni mtizamo tu Click to expand... Hulitendei haki hilo jina ulilojipa labda kama ulijipa kwa ajili ya bhangi unazovuta lakini kama kwa hekma ma-ras hawako hivyo ndugu.
Mrs Kharusy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 1,244 Reaction score 671 Jan 28, 2015 #7 farkhina said: Una maanisha biriyani? Click to expand... Jaan mbona umemwacha njiani huyu? Si ushawahi kuweka biriani hapa? Muekee uzi apate kujisomea
farkhina said: Una maanisha biriyani? Click to expand... Jaan mbona umemwacha njiani huyu? Si ushawahi kuweka biriani hapa? Muekee uzi apate kujisomea