Wapishi wa vyakula, vitafunwa, chips pamoja na wahudumu wanahitajika haraka

Wapishi wa vyakula, vitafunwa, chips pamoja na wahudumu wanahitajika haraka

Manala An Academician

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
119
Reaction score
57
Sifa
1. Awe anajua kupika chakula na vitafunwa vyenye radha nzuri
2. Awe na lugha nzuri Sana
3. Usafi wake na mahala pa kazi ni sifa nyingine muhimu
4. Nidhamu pamoja na kuheshimu mda wa kufika kazini
5. Ajira ni ya mkataba wa mwaka mmoja mmoja

Mahari
Rhian tastfood restaurant, Mabibo-Dar Es Salaam

Mawasiliano
Piga au whatsap kwa namba 0765374146
Karibuni sana
 
Haya wapishi wa mnaojua kupika vyenye RADHA,mkapike MAHARI mnapohitajika ni Mabibo!!.
 
Back
Top Bottom