Wapo Special Thread: Andika Sentensi malizia na neno ''Wapo''

Wapo Special Thread: Andika Sentensi malizia na neno ''Wapo''

kuna wanaJF wanaandika pumba ili wapate like [HASHTAG]#WAPO[/HASHTAG]
 
Jf kuna lumumba wana akili za kushikiwa, wapooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Wapo wana CCM humu JF Walikuwa wanasema ney hana nidham,sasa baba yao JPM kawaumbua
 
Back
Top Bottom