Wapo wapi? Ama kweli jana sio leo na leo sio kesho

Acha tuu nakumbuka kuna kipindi nilikua nikipita natongozwa hata na vijana sita saba yani wananisimamisha mpk nikawa naona kero kumbe ni.muda tuu na ni umri tuu vinapita hahahaha

🤣🤣🤣🤣🤣

Nyie ndio mlikuwa mnatisha wadada wenzenu mkipita wakiogopa utawachukulia wenza wao??
 

Wajina wangu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…