Wapo wapi Enock Mwigane na Mwl. Kashasha?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Hii duo ilikua on fire sana wanapotangaza mpira, yaani walikuwa wanaiva saana.

Baada ya Enock kutangaza nia ya kugombea Ubunge huko Mbozi, mara akapata ajali ila akatoka mzima akaendelea na mchakato wa kura za maoni, japokuwa hazikutosha.

Enock kama watumishi wengine wa Umma angetakiwa kurejea kazini baada ya kipindi flani kupita. Ila naona huyu mwamba ni kama kapotea kabisa.

Au.mimi kwa kuwa sisikilizi TBC so sijui whereabouts za huyu jamaa.
Je, kapangiwa kazi nyingine?

Toka amepotea "sauti ya radi" kutoka Azam media anatamba tu.

Mwenye kujua walipo hawa jamaa atujuze.
 
Kamarada Enock Bwigane na Mwl Kashasha ni kombinesheni moja tamu sana, nawakubali sana

Huwa nikiingia uwanjani kucheki mechi kubwa kubwa pale taifa basi lazima earphone niwe nazo ili kutokupitwa na hii kombinenga
 
Reactions: BRB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…