Wapo wapi Lizaboni na Fayza foxy?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA CCM sasa kimedoda.Nawaomba walipo wajitokeze jukwaani ndugu zetu!
 
Yaan faiza foxy na Ritz sijui wamepatwa na ninii? au wamekuwa kama Mange?
 
Na
Natumai nimewahi kiti cha yule bwana
 
Yaan faiza foxy na Ritz sijui wamepatwa na ninii? au wamekuwa kama Mange?
Tuwaombe sasa walipo wajitokeze hapa jukwaani ili waongeze nguvu kwenye team propaganda ya ccm maana imedoda kwani WAKUDADAVUA ameshindwa
 
Kweli hawawakongwe siwaoni tena. Walikuwa wabishi lkn waelewa sana kwa kweli.
 
Yaan faiza foxy na Ritz sijui wamepatwa na ninii? au wamekuwa kama Mange?
Wamejitambua baada ya kuona Buku saba sio kitu. Wamerudisha kadi siku mingi tu. Sasa wanapiga gwanda za kaki na kesho kutwa watakuwa mstari wa mbele kuikomboa nchi.
 
Una uhakika hawapo nasi kwa Nguo zao mpya Mkuu? Mimi mbona nawaona sana tu na tena katika ' threads ' zangu za Kisiasa au Kijasusi au Kingono huwa wanajitokeza mno kuchangia. Hata hivyo unahitajika umakini mkubwa sana kuweza kuwajua / kuwang'amua vinginevyo utapata shida kuwajua ila amini maneno yangu kwamba hao wawili uliowataja hapo juu wapo kila siku humu JF kwa Nguo zao mpya huku zile za zamani wakiziacha ama kwa muda tu au kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…