ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Hawa makocha baada ya kupigwa na Yanga walitimuliwa wote Kwa nyakati tofauti, hadi Leo hawajulikani wapo wapi? Labda wapi makwao wakilea wajukuu
Yaani hao makocha hawana hadhi hata ya kufundisha championship
Yanga ndo timu inawapa platform coaches, wanakuja Yanga wanapata jina na kuaminiwa na timu kubwa
1. Nesreden Nabi
Huyu alikuja Yanga akiwa ametimuliwa El marrek ya Sudan na akiwa hana timu, Yanga tulimla timu akaja kutawala soccer la TANZANIA na Africa, baada ya kutoka Yanga alijiunga na bingwa Morocco FAR Rabbat na Sasa yupo Kaizer chiefs ya South Africa
2. Miguel Gamondi
Alikuja akiwa amekaa kwao bila timu zaidi ya mwaka, akaja Yanga kutawala soccer ikiwa ni pamoja na kumpiga mtani goli 5 na kumfunga mara nne mfululizo
3 Sead Ramovic
Huyu ni coach kijana alikuja Yanga akitokea timu ndogo Galaxy, amekaa Yanga miezi miwili Sasa anajiunga na miamba ya Algeria, CR Beilouzdad
Sijaona offer ya timu ikimuhitaji coach wa Simba Fadlu David's ambaye ana historia ya kushuka daraja
Mlete mdhungu
Yanga bingwa