Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Anaamsha dude, kama sio mtu wa kujirusha club sio rahisi kuzikubali kazi za djs.Hivi what was so special kwake? Ile miluzi au kitu gani?
Anaamshaje dude?Anaamsha dude, kama sio mtu wa kujirusha club sio rahisi kuzikubali kazi za djs.
Angalia matamasha ya yanga mwaka jana na mwaka huuAnaamshaje dude?
utawaweza watu wa bata, wao wanampenda. So inabidi ufuate wanachopenda watejaHivi what was so special kwake? Ile miluzi au kitu gani?
Kwahyo ndo mnamlipa mil 20 kwa shoo moja?utawaweza watu wa bata, wao wanampenda. So inabidi ufuate wanachopenda wateja
4M per show, return ticket, malazi, chakula na vinywajiKwahyo ndo mnamlipa mil 20 kwa shoo moja?
Okay that's great4M per show, return ticket, malazi, chakula na vinywaji
Ndiyo Ukweli Wenyewe, Nasema Uongo Ndugu ZanguKwisha habari yao, kama hawakujiwekeza ndio basi tena
Wazee wa makoti hawasikiki kabisa
Mara ya mwisho nilisikia wamekula shavu Unyaman Simba mara sijui wamechukuliwa na Majizo.
But ninachojua NI kwamba sijawasikia muda Sana.
Vip Kwa sasa wanatamba na mtindo gani?
Kuna kipindi mtu mmoja aliyelewa mataputapu alisikika akisema Miso Missondo NI zaidi ya DJ Ally B
View attachment 3063352View attachment 3063353
Kweli hata me sijawahi elewa nini special alikua nacho.Hivi what was so special kwake? Ile miluzi au kitu gani?
Khaaah..anyway tunatofautiana.4M per show, return ticket, malazi, chakula na vinywaji
Mkuu ni utafutaji tu tujikwamue kwenye umaskiniKhaaah..anyway tunatofautiana.
It's all about survival of the fittest!.. kuna siku hata Nanauka atasahaulika, we need one who changed over time1 hit wonder.
Kwisha habari yao.
Walishindwa kutumia trend kubaki kuwa relevant. Ndio imetoka hiyo ikirudi pancha.
Yaani NGADA FC PYUWAAAAAAAAAAAAAAAAAA..!!!Wazee wa makoti hawasikiki kabisa
Mara ya mwisho nilisikia wamekula shavu Unyaman Simba mara sijui wamechukuliwa na Majizo.
But ninachojua NI kwamba sijawasikia muda Sana.
Vip Kwa sasa wanatamba na mtindo gani?
Kuna kipindi mtu mmoja aliyelewa mataputapu alisikika akisema Miso Missondo NI zaidi ya DJ Ally B
View attachment 3063352View attachment 3063353