ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kulikoni Wananchi tunawakosa watu hawa muhimu sana katika Yanga hii mpya?
Upande wa Kikosi na Upande wa hamasa
Nina imani kubwaSaidoo angeungana na akina Bangala na Mayele na Aucho tungepata matokeo zaidi ya haya kwa hatua hizi za mwanzo
Tuombe uongozi kujaribu kwa haraka kuturudishia saidoo lakini pia upande wa hamasa ajulikane mzee ana tabu gani