K KAUMZA JF-Expert Member Joined Aug 31, 2010 Posts 699 Reaction score 237 Dec 9, 2010 #1 Kwa wapenda soka wa club za hapa nchini. Kama mtakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 1990 club ya simba ilikuwa na wafadhili SHAFI BORA na AHMED BORA. Siwasikii siku hizi, WAPO WAPI??? TUJUZANE
Kwa wapenda soka wa club za hapa nchini. Kama mtakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 1990 club ya simba ilikuwa na wafadhili SHAFI BORA na AHMED BORA. Siwasikii siku hizi, WAPO WAPI??? TUJUZANE
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,370 Dec 9, 2010 #2 miaka ya themanini wakati huo majimaji inatesa vibaya mno hao ndo walikuwa wafadhili. sijui wamepotelea wapi hawa jamaa.
miaka ya themanini wakati huo majimaji inatesa vibaya mno hao ndo walikuwa wafadhili. sijui wamepotelea wapi hawa jamaa.
Candid Scope JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 11,897 Reaction score 6,925 Dec 9, 2010 #3 Pesa ulimbo na urimbo ukinasa natafuta pakujificha mambo yaishe maana jina langu lilishazagaa kama dagaa
Pesa ulimbo na urimbo ukinasa natafuta pakujificha mambo yaishe maana jina langu lilishazagaa kama dagaa