Wapo wapi Wajukuu wa Skeleton a.ka WAWASKE?

Wapo wapi Wajukuu wa Skeleton a.ka WAWASKE?

Lyrics Master

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
479
Reaction score
670
Hawa jamaa walitamba sana kimuziki miaka ya 2005 pale mkoani Mbeya, waliwahi kurekodi nyimbo moja kwa MAJANI inayoitwa NIOKOENI. Kiongozi mkuu wa kundi hili alikuwa akiitwa Nabii Amos.

hivi wako wapi hawa jamaa waliokuwa wanatokea pale NZOVWE Mbeya.

kipindi hicho Rayvany Van Boy anaimba kwaya kanisani.
 
Waliimba nyimbo moja hivi,
Chorus ilikuwa ivi
Muda unakwenda ,ooh
Nasi tunaimba ,eeh
Na wadau wa music eeh ,
Kwingine nimesahau kitambo sana
 
Waliimba nyimbo moja hivi,
Chorus ilikuwa ivi
Muda unakwenda ,ooh
Nasi tunaimba ,eeh
Na wadau wa music eeh ,
Kwingine nimesahau kitambo sana
mkuu umetisha sanaaaaaaa.... upo sawa hata mimi chorus naikumbuka japo ni muda mrefu.....

Muda unakwendaaaa (Niokoeni)
kila siku naimba (Niokoeni)
Hii barua kwa Mashabiki(Niokoeni)
na wadau wa huu muziki
 
Back
Top Bottom