Hawa jamaa walitamba sana kimuziki miaka ya 2005 pale mkoani Mbeya, waliwahi kurekodi nyimbo moja kwa MAJANI inayoitwa NIOKOENI. Kiongozi mkuu wa kundi hili alikuwa akiitwa Nabii Amos.
hivi wako wapi hawa jamaa waliokuwa wanatokea pale NZOVWE Mbeya.
kipindi hicho Rayvany Van Boy anaimba kwaya kanisani.