Nakumbuka enzi zile wakati hakuku wa na members wengi kama sasa, na internet ilikuwa hadimu.
Yaani wanachat tulikuwa kama family ndogo hivi, tulikuwa tunajuana personality ya kila mtu wako wapi.
Dues, Curtis, uncle Ben,mdosi mzalendo,rubabi, nshomile,poble cl,milosevic,abu muttalib,kishoka, na yule mama, jina nimelisahau.
Tujulishane
Nimeiona hii post by chance kweli. Sijui kama ulijibiwa swali lako.Nadhani mama unayemzungumzia alikuwa anaitwa Mamantilie. Such a sweet lady, sijui yuko wapi sasa. Zaidi ya miaka 15 iliyopita.

internet ilikuwa 'HADIMU' hapo tuu...!
Not realKuna Jamaa mtaalamu wa computer enzi zile za Nyenzi alikuwa anaiwa 'Jerry Mshana' is that you?
Kweli kabisa wengine ni mawaziri!!Ilikuwa ya watoto wa kisure tu!
Nakumbuka enzi zile wakati hakuku wa na members wengi kama sasa, na internet ilikuwa hadimu.
Yaani wanachat tulikuwa kama family ndogo hivi, tulikuwa tunajuana personality ya kila mtu wako wapi.
Dues, Curtis, uncle Ben,mdosi mzalendo,rubabi, nshomile,poble cl,milosevic,abu muttalib,kishoka, na yule mama, jina nimelisahau.
Tujulishane
Kweli kabisaIlikuwa ya watoto wa kisure tu!
Nasikia huyu mama alikuwa msaidizi wa karibu wa Mwalimu (PS), kwa sasa ni mzee, amestaafu anaishi maeneo ya Kivule. Na Nyenzi.com kwa sasa ni kampuni kubwa imebadili jina na kuwa Climate Consult (T) Ltd.Ndio huyo Mama Ntilie, nimekumbuka.