Wapo wapi William Lukuvi na Palamagamba Kabudi?

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Wanabodi salama?

Mwamba Lukuvi na Kabudi wako wapi? Bungeni wanaonekana kweli? Au wanaendelea kutoa ushauri ikulu post walizopewa na mama?
 
Timu mwendazake inapumulia mashine, wacha tuone hili sakata la Legendari wa CCM litaishaje ishaje maana makada wamemshukia kama mwewe.
 
Lukuvi aliendesha ardhi vizuri sana, sijui kilichomsibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…