wapopo ni wanaijeria jina hilo wamebatizwa na wabongo,linatumika na wabongo dunia nzima kuwatambulisha jamaa japo wenyewe hawajui kama tunawaita hivyo so ukitaka kuwateka hata wakiwepo tumia jina hilo.Kuna utata kuhusu chanzo cha jina hilo!
Katika wachangiaji wote nadhani umekwendani karibu zaidi na ukweli.. wapopo ni nani? labda nitaongezea machache kwa yale uliyosema........
WANIGERIA ndio tunawaita WAPOPO na asili yake ni kule kuongea kwao na kutembea kwa makundi na sio kuwa watu wote wa Afrika magharibi ni wapopo,na zipo sehemu na watu wa mataifa tofauti ambao mara nyngi wasafiri wanawabatiza majina kwa sababu moja ama nyingine,nitakuwa muongo nikisema najua kila jina limetokana na nini lakini nitatoa mifano kadhaa
WASUDANI = MAFISI
WAETHIOPIA =MAHARAGE
SYRIA =KWA MASKIO
EGYPTY = MFEREJINI
LEBANON = VICHAKANI
Wapopo=wanaijeria. Nalog offHata wagambia nao ni wapopo!
Na kuna Vishoka, raiya kutoka Poland na wengine wanasema ni kutoka Russia
na wabongo wanaitwaje?
duh..akisema good morning??????lol
wapopo ni wanaijeria jina hilo wamebatizwa na wabongo,linatumika na wabongo dunia nzima kuwatambulisha jamaa japo wenyewe hawajui kama tunawaita hivyo so ukitaka kuwateka hata wakiwepo tumia jina hilo.Kuna utata kuhusu chanzo cha jina hilo!
ninavyodhani......jina hili limetokana na movie iliyopata umaarufu sana hapa nchini enzi zile movie za kinigeria zilipoingia....(Aki na Ukwa 1&2).....iliyochezwa na vijana machachari Osita na Chinedu....(Aki na Paw Paw)......
Ni jina la msimu ambalo mwishowe limepata umaarufu sana na ukiangalia chimbuko lake ni hapa TZ..(naruhusu kusahihishwa)
Ha ha ha! Mkuu umenichekesha eti akisema goodmorning katazame jua kwanza.ndiyo ni wanigeria jinahilo linatokana na watu kuwa na ndimi mbili haswa kabila moja linaitwa wayoruba ni wanafiki wakubwa na waongo sana ,akisema wewe ni rafiki yake basi kuna kitu anataka kwako bada ya hayo utasikia music wake, pia ni waongo sana akisema goodmorning katazame jua kwanza nje kama asubuhi, kule kuna waibo, huku tunawaita wachagga hawa watu poa spedi ni spedi na kijiko ni kijiko,pia kuna wafurani wako kama wamasai, popo ni ndege na mnyama hwa wayoruba ni kama popo