Wapwaz na Binamuz,Nawaaga-Nitapotea kwa muda kwenye Jukwaa hili

Status
Not open for further replies.

Regia Mtema

R I P
Joined
Nov 21, 2009
Posts
2,970
Reaction score
866
Wapenzi,Wapwaz na Binamuz wote.Salaam

Kwanza nichukue nafasi hii kwa wale ambao bado hawajafahamu kuwa mimi ndio Gender Sensitive,kutokana na mambo fulani fulani ya kisiasa imebidi nije na jina langu halisi.

Kwakuwa zimebaki siku chache kuanza kampeni nasikitika kwamba sitakuwepo kwenye jukwaa hili kwa kipindi chote cha sasa kuelekea mpaka baada ya uchaguzi.Nitakuwa napatikana kwenye jukwaa la uchaguzi na siasa pale nipatapo wasaa. Ili kumshinda Mteketa lazima mapenzi tuweke pembeni kwanza..ha ha ha!

Nitalimiss sana hili jukwaa murua..Nitawamiss wote.Baada ya uchaguzi nitarudi tena jamvini kama kawaida.

My nos are 0713 760534,0753 760534,0784 760534

Asanteni sana

With Love
Regia Mtema
 
Kila la heri mpwa...natawatafuta na John Mnyika niwape mwaidha yangu...asante kwa phone numbers
 
Wapenzi,Wapwaz na Binamuz wote.Salaam

Kwanza nichukue nafasi hii kwa wale ambao bado hawajafahamu kuwa mimi ndio Gender Sensitive,kutokana na mambo fulani fulani ya kisiasa imebidi nije na jina langu halisi.

Kwakuwa zimebaki siku chache kuanza kampeni nasikitika kwamba sitakuwepo kwenye jukwaa hili kwa kipindi chote cha sasa kuelekea mpaka baada ya uchaguzi.Nitakuwa napatikana kwenye jukwaa la uchaguzi na siasa pale nipatapo wasaa. Ili kumshinda Mteketa lazima mapenzi tuweke pembeni kwanza..ha ha ha!

Nitalimiss sana hili jukwaa murua..Nitawamiss wote.Baada ya uchaguzi nitarudi tena jamvini kama kawaida.

My nos are 0713 760534,0753 760534,0784 760534

Asanteni sana

With Love
Regia Mtema

ooh will definitely miss you GS.

I am with you , and wishing you success in your daring mission. It is possible, and we believe in that possibility.:love:
 
Wishing you all the success in the world dada yangu mkubwa. tuko pamoja and I will definitely miss you too. Cheers
 
You heading for a higher level...wishing you all the success!
 
all the best .................jukwaa lita miss michango yako, i hope baada ya kuwa mbunge bado utakuwa unapita pita jukwaani kuacha nasaha na falsafa zako
 
Usisahau kubeba hivi vitu
1)Biblia au Koran au vyote
2)Katiba yetu mbovu(uisome sana hii)
3)Ilani ya uchaguzi ya CCM ili uitumie kuwabomoa
4)Yale manyaraka yaliyokuwa yanaletwa hapa na MMMJ & Co
5)Confidence yako uliyokuwa unaionyesha hapa...panda nayo majukwaani
Wengine wataongezea...as am elated
 
Nakutakia mpambano mwema wenye mafanikio...........!mind you, nadhani utakuwa umeona rafu zinazochezwa huko ''sisiemu'' baina ya wao wenyewe and I hope....umeshatia maji (kama waswahili wasemavyo) that umeshajipanga kupambana na rafu hizo.......!

Kila la kheri bibie!
 
Wapenzi,Wapwaz na Binamuz wote.Salaam

Kwanza nichukue nafasi hii kwa wale ambao bado hawajafahamu kuwa mimi ndio Gender Sensitive,kutokana na mambo fulani fulani ya kisiasa imebidi nije na jina langu halisi.

Kwakuwa zimebaki siku chache kuanza kampeni nasikitika kwamba sitakuwepo kwenye jukwaa hili kwa kipindi chote cha sasa kuelekea mpaka baada ya uchaguzi.Nitakuwa napatikana kwenye jukwaa la uchaguzi na siasa pale nipatapo wasaa. Ili kumshinda Mteketa lazima mapenzi tuweke pembeni kwanza..ha ha ha!

Nitalimiss sana hili jukwaa murua..Nitawamiss wote.Baada ya uchaguzi nitarudi tena jamvini kama kawaida.

My nos are 0713 760534,0753 760534,0784 760534

Asanteni sana

With Love
Regia Mtema

yaani kwa maavituuuuuuuuuuuuuuuuuz yakoooooooooooooooooo
Hata Bagamoyo uitaji kwenda binafsi nakutakia kila la kheri mimi naitwa samson mfalila
proffesional dereva mzuri kilasi K Naomba mama unikumbuke ufalme wako sababu ntakuwa
mpambe wa mmoja wa wagombea inabidi nisiweke namba yangu ila kwenye LILE landcruiuiser\
si haba kubadilishana ufalme...hapa dunian mama kila la kheri narudia tena
biblia inaasema watashindanaa wee lakini awatashinda ikawe kwa adui wako in jesus name
 
wapenzi wa siasa nafikiri tumempa kila la kheri za kutosha wale proffessional wa uchaguzi tuanze kumpa mbinu za kushinda jamani aijalishi wizi wa kura ama kugawa soda la hasha tupeni mwanga tumuwezeshe kijana wetu dada yetu hizo namba ajatoa kuomba urafiki ametoa kwa makusudi anajua humu humu kuna matapeli wa kura kuna wale wanaojua kugawa soda bila thakukuru kujua hao ndio tunaowataka hoja zake zitakuwa majumuisho tu kuelekea DODOMa
 
Wapenzi,Wapwaz na Binamuz wote.Salaam

Kwanza nichukue nafasi hii kwa wale ambao bado hawajafahamu kuwa mimi ndio Gender Sensitive,kutokana na mambo fulani fulani ya kisiasa imebidi nije na jina langu halisi.

Kwakuwa zimebaki siku chache kuanza kampeni nasikitika kwamba sitakuwepo kwenye jukwaa hili kwa kipindi chote cha sasa kuelekea mpaka baada ya uchaguzi.Nitakuwa napatikana kwenye jukwaa la uchaguzi na siasa pale nipatapo wasaa. Ili kumshinda Mteketa lazima mapenzi tuweke pembeni kwanza..ha ha ha!

Nitalimiss sana hili jukwaa murua..Nitawamiss wote.Baada ya uchaguzi nitarudi tena jamvini kama kawaida.

My nos are 0713 760534,0753 760534,0784 760534

Asanteni sana

With Love
Regia Mtema

FOWARD EVER....BACKWARD NEVER...!! ALL THE BEST!!!:nod::nod:
 
Duh kumbe ni wewe kweli usilolijua ni kama usiku wa giza nakufahamu mnoooooooooo
 
GS....

I believe in your mission, as Kaizer said, its "Mission Possible"... Tuko pamoja na nina imani utatuita tukae pamoja ili tuboreshe nia yako!!!

Uombe ayfa, amani, uzima na ushindi
 
Duh kumbe ni wewe kweli usilolijua ni kama usiku wa giza nakufahamu mnoooooooooo

hahaha mkuu hapa kuna vigogo usifanye mchezo kabisa! La muhimu tumuombee tu akamilishe safari salama.maana mambo ya uchaguzi yana mengi!
 
Kuna yule Mganga pale karibu na Mang'ula anaitwa Kalembwana asikulaghai hata kidogo! Amekuwa akitumia na Ngasongwa na hata Mkulu wetu Kikwete ili awasafishie nyota. Bila Shaka Mteketa naye atakwenda nyolewa kwa Bibi Kalembwana. Nitakuja Idete na Namawala kati kati ya Sept nitakutafuta.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom