Wapwazi

Shukrani kwa wote Mungu yu pamoja nasi! Naanza safari inshallah!
 
Mchungaji. Mungu akutangulie ktk kila hatua ya safari yako!!
 
All the best Rev Masa kwen safari!
 
I'm done with 87 miles, the road is so icy, freezing fogs are coming down. Im cruising at maxm of 40 m/hr. Nimeishakutana na ajali mbili! It's not funny at all wazee
 
I'm done with 87 miles, the road is so icy, freezing fogs are coming down. Im cruising at maxm of 40 m/hr. Nimeishakutana na ajali mbili! It's not funny at all wazee

dah mkuu u be extra careful hope umefangua zile tairi maalum za winter na usijepata mdadi ukacruise kwa spoeed kubwa....tem inasoma ngapi apo kwen dash board?
 
dah mkuu u be extra careful hope umefangua zile tairi maalum za winter na usijepata mdadi ukacruise kwa spoeed kubwa....tem inasoma ngapi apo kwen dash board?

Inacheza kwenye sub freezing tem! Honestly sikuweka hizo tairi! Siwezi tuma picha via mobile Nikifika nitawapa picha!
 
Mkuu ni vyema ukatafuta winter tire. Maana gari isije ikala mweleka kama kwny ice skating. Take care and all the best.
 
Mkuu ni vyema ukatafuta winter tire. Maana gari isije ikala mweleka kama kwny ice skating. Take care and all the best.

Niliambiwa tairi nilizonazo ni multipupose sasa sijui! Thanks for your kindness
 
Wachakachuaji hata huko wapo mkuu....chunga speed yako tu hilo ndo la muhimu!

Hahahah jamaa hakuwa mchina ila anadamu ya kihindi! 133 miles done so far!
 
duuh mchungaji speed hiyo na huo umbali uliobaki bado una kazi ya ziada.

bon voyage kaka:car::car:
 
the more i read about this thread the more my heart pump

Mchungaji, i pray for your trip
 
Rev Usisahau GPS maana USA na europe ndio kiongozi wako barabarani, bon voyage, Adios
 
safari njema mkuu........huku kwa maosama tuna lalamika lami zinakuwa za moto balaa....nyie huko mnalalamika barafu...duh!
 
Thank God! Baada ya masaa 9 na dak 23 nimefanikiwa kufika. Mwenyeji wangu nami nikefurahi sana kuonana baada kuachana miaka 17 ilopita. Mke na mtoto (Prince) wapo salama. Mkewe ni mzungu na wanaishi na wazazi. Safari ilikuandefu na risk mingi. Nimepumzika mara 5 kupata kahawa Kali. Nimesikiliza mahubiri, gospels, reggae na slows nyingi. Picha nitawapa baadaye niko hoi wacha nilale wenyeji wamenipa chumba

Mbarikiwe wote!
 
Thank god umefika salama.ukiamka tu pics pls
 
Gps kwa hapa bongo zinafanya kazi kweli?

Miji na barabara zetu TZ bado hazina mfumo wa GPS which is Satellite system, but Ndege zenye Garmin system equipped in TZ zinaweza kuruka sehemu yoyote, from Departure, enroute to Terminal approach not final approach phase, ila miji yote mikubwa Duniani hata madereva Taxi ambao ni wazoefu Paris, london, USA, bila GPS hawezi kufanya kazi, or nchi zote za dunia ya kwanza GPS ni muhimu sana.
 
Wapwaz

nani ana update za huyu kamanda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…