Waraka: Diamond Platinumz kuhusu Zari

Waraka: Diamond Platinumz kuhusu Zari

sasa huo ushauri si ungempelekea nyumbani kwake badala ya kuuleta hapa jamvini!?
Ila kwa kuongezea, sina uhakika kama huyu dogo anayofanya sasa hivi alishauriwa na 'rafiki' yake kipenzi bali kwa kifupi anaweza akawa ndio anaingia forced king. Nasema hijui kwa sababu huyu kwanza sio msichana bali ni mama mtu mzima na watoto na nasikia kamzidi miaka 10. Alafu huyu sio kama wasichana wa bongo ambao kwao chipsi kuku unakula kichwa na akipata vitz ndio 'Mungu kamjaalia' bali ni wale ma opportunist wakubwa na kujua hili kawaulize Waganda wanaomjua.
Any way, kila binadamu ni haki yake kuishi atakavyo japo shujaa anasherehekewa na jamii nzima.
 
Swadakta wapo wanaotaka nyota tuu waonekane kwenye magazet&tv i mean wanatumia wasanii wakubwa ili wawe promoted in daily life...? Sasa mwisho ni mbaya eg mr °°° kaka Fagilia bongo
 
Nayeye anaakili sasa hivi yupo katika peack acha awatindue wakati ukifika wakupumzika ataacha kwani kitu gani shingapi wapelekee moto naye mtoto wakiswazi anajua maujanja unawezakukuta yeye ndiye anawagema kwani wanawake wanahizo mimi naona hapa kilichotawala ni wivu na chuki baaaasssi au wasemaje miss chagga
 
Last edited by a moderator:

ndiyo maana yake
 
kabisa KakaKiiza umri ndio huo, ujana haurudi mara mbili....
 
Last edited by a moderator:
Mimi kama mwanaume najisifia kwa kufahamu wanawake KWA undani zaidi, namshauri diamond wanawake ni watu wa kubadilika badilika kutokana na mahitaji yao awe makini sana na mademu la sivyo atapoteza ramani

Teh Teh huu ni waraka au sms?
 
Ya kwako yamekushinda au umeyashinda hadi uoeamia kwa diamond???
 
We sema umetaka uonekane nawe umeanzisha uzi hakuna waraka wa almasi wala dhahabu hapa. Sijui ulikuwa unakimbizwa wakati unaandika huu waraka!
 
Back
Top Bottom