Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
ndiyo maana yakeNayeye anaakili sasa hivi yupo katika peack acha awatindue wakati ukifika wakupumzika ataacha kwani kitu gani shingapi wapelekee moto naye mtoto wakiswazi anajua maujanja unawezakukuta yeye ndiye anawagema kwani wanawake wanahizo mimi naona hapa kilichotawala ni wivu na chuki baaaasssi au wasemaje miss chagga
kabisa KakaKiiza umri ndio huo, ujana haurudi mara mbili....Nayeye anaakili sasa hivi yupo katika peack acha awatindue wakati ukifika wakupumzika ataacha kwani kitu gani shingapi wapelekee moto naye mtoto wakiswazi anajua maujanja unawezakukuta yeye ndiye anawagema kwani wanawake wanahizo mimi naona hapa kilichotawala ni wivu na chuki baaaasssi au wasemaje miss chagga
Mimi kama mwanaume najisifia kwa kufahamu wanawake KWA undani zaidi, namshauri diamond wanawake ni watu wa kubadilika badilika kutokana na mahitaji yao awe makini sana na mademu la sivyo atapoteza ramani
ha ha ha basi sio waraka ila ni "sentensi kwa diamond"waraka wenye sentensi moja?nimebaki natabasamu tu
ha ha ha basi sio waraka ila ni "sentensi kwa diamond"
ha ha ha kitu warakaTeh Teh Mwl mwanafunzi wako kasema ni waraka! daaaa siondoki jf ....