Waraka huu ni kwa watu wote, wadada na wakaka mlio humu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kama wewe uko Inlove na mtu, huyu mtu asubuhi
hakutafuti yuko bize, ila ikifika usiku, tena usiku wa
manane sa6 huko ndo anaanza kupiga simu na
maswali ya kipuuzi, eti 'umelala'? Sasa unadhani sa6 ntakuwa nachambua mchicha au?? Utasikia
''nimekumiss amka basi tuongee kidogo KAMA
UNANIPENDA MIMI'',
khah Kama kweli
unampenda ulikuwa wapi kunifind asubuhi
kunisalimu, au mchana kunikaribisha Lunch???Yaani
utumike huko weeee, sa6 usiku ndo unimiss mimi,unaumwa! Siamki!
Haya mahaba ya Vibwengo
siyataki, mapenzi gani ya usiku wa manane,akikupigia
simu mwambie mi sio Kibwengo! Mahaba hadi Cheka
time ya bure? Mwishowe niongelee usingizini uniulize
Password za benki bure nitoe siri maana mazungumzo
ya Usingizini unaweza ukasema visivyosemwa unakumbuka ukiamka!Kama unampenda, mtafute
asubuhi au mchana,mahaba ya
usiku waachie Watoto wa sekondari Siamki Ng'oo!
Kwahisani Ya Watu Wa dubai.
 
Ndo tatizo la kuwa na watoto humu jukwaani!
 
Hakunaga kutoa Password usingizini wewe.

Labda anikamatie anapozungusha kiuno kama Feni mbovu,nitataja password zote. Akili zikirudi naenda kubadilisha.
 
Hakunaga kutoa Password usingizini wewe.

Labda anikamatie anapozungusha kiuno kama Feni mbovu,nitataja password zote. Akili zikirudi naenda kubadilisha.
Aisee sidhani kama itawezekana hata kutaja namba ya nyumba, wengine sio weak kwenye hizo mambo
 
Inde mamaa indeee
inde mamaa indee
indee morniiii......
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mahaba ya vibwengo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Usiku mnaweza kuzungumza kwa utulivu, akili imetulia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…