Waraka huu ni kwa watu wote, wadada na wakaka mlio humu

Wote wezi wamesharudi kwenye mshemishe zao ndo wanatafutana. Mapenzi gani ya Simu SAA 6 usiku?
 
BORA WANAOTAFUATA HATA USIKU WKEND YOTE HATA KUBEEP WKDAYS JUMATATU SAA NNE UPO KWENYE KIKAO KAZINI NDO MTU ANAPIGA KWA FUJO ETI TUTAONANA? TUTAONANA MBINGUNI FALA KABISA
 
Mmh! Kweli mapenzi hayana formular. wenzako wengi wanasema wakipigiwa simu manane ya usiku wanakuwa na hakika kuwa jamaa hajalala na mchepuko. Ww hutaki unataka upigiwe asubuhi

Hv kama mpenzi wako ni konda, ataongeaje mambo ya mahaba huku akiwa anagombana na abiria mchana kutwa? Ndiyo Wengi Hupendelea Usiku.
 
Hivi mpaka sa hivi una GPA yangampi.
 
Tatizo ulimbukeni na ushamba ndio unafanya wengine wanakesha;mtu anachat na mpenzi wake kuanzia saa nne usiku mpaka majogoo;sasa tofauti na mchawi iko wapi hapo na inawezekana hata wachawi umewazidi!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…