Huu umasikini mnao nyie tu?Shetani hajaja duniani kucheza. Anataka tuwe masikini tu. Endapo tutahitaji utajiri na ufahari Basi anataka tutumie nguvu za giza! Ndiyo maana nawaunga mkono hao wanaohubiri kuwafungua waliofungwa kwenye umasikini
Ubarikiwe mtumishi. Shetani anataka tuone dunia ni nyumbani kwetu, ili tusahau nyumbani kwetu (mbinguni).KWA KANISA LILIKO TANZANIA ANDIKA:
Nayajua matendo Yako ya kuwa umeacha kuhubiri kweli ya Kristo yenye uzima na badala yake unahubiri injili ya vitu viharibikavyo,
Je, Kristo amekufa msalabani ili uwe na nyumba nzuri?
Je, Kristo amekufa msalabani ili uwe na gari zuri?
Je, Kristo alisulubiwa msalabani ili uwe tajiri na maarufu?
Tena lipo baya zaidi ufanyalo yaani kutegemea chumvi na maji badala ya kumtegemea mokozi!
Je, Kristo amegeuka kuwa mganga wa kienyeji eeh Tanzania?
Na Tena naona habari zako za ibada za kujikomboa na kujiokoa je Kristo hakumaliza kazi ya ukombozi?
Kwanini kujikomboa na kujitaabisha namna hii?
Je, umekuwa mjinga kiasi hiki?
Tena umekuwa mtu wa kubandika picha na stika za hao uwaitao manabii wako ili Hali moyoni mwako umeacha kushika kweli ya Kristo
Wewe umefungwa kwenye umasikini?Shetani hajaja duniani kucheza. Anataka tuwe masikini tu. Endapo tutahitaji utajiri na ufahari Basi anataka tutumie nguvu za giza! Ndiyo maana nawaunga mkono hao wanaohubiri kuwafungua waliofungwa kwenye umasikini
Hongera kwa ufunuo wako! Stay blessed!KWA KANISA LILIKO TANZANIA ANDIKA: