Waraka kwa kijana wangu wa Form 3

Waraka kwa kijana wangu wa Form 3

Kifyatu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,382
Reaction score
3,220
We Hamnazo we,

Kwa uzembe wako wa shule tangu ulipoponea chupuchupu Form 2, sikutumii tena hela za matumizi mpaka utakaponipa jibu la hesabu hii ya kujumlisha hapa chini.

Kila herufi katika hiyo hesabu ni tarakimu kati ya sifuri (0) na tisa(9). Hizo tarakimu ni zipi?

S E N D + M O R E = M O N E Y

Wakatabahu,

Baba yako.


NB. Mtu humu janvini anaweza akamsaidia Hamnazo.
 
Baba HAMNAZO hali yako?
Na mama HAMNAZO nae hajambo?
Naona umempa mwenetu jina la Babu yake mzaa Baba!
Sina ziada ya hapo zaidi ya kuwajulia tu hali "HAMNAZO FAMILY"
 
Back
Top Bottom