We Hamnazo we,
Kwa uzembe wako wa shule tangu ulipoponea chupuchupu Form 2, sikutumii tena hela za matumizi mpaka utakaponipa jibu la hesabu hii ya kujumlisha hapa chini.
Kila herufi katika hiyo hesabu ni tarakimu kati ya sifuri (0) na tisa(9). Hizo tarakimu ni zipi?
S E N D + M O R E = M O N E Y
Wakatabahu,
Baba yako.
NB. Mtu humu janvini anaweza akamsaidia Hamnazo.