Waraka kwa mke wa mtu (ex)

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,075
Darling....... tulifahamiana kupitia mtu niliyefahamiana naye kupitia humu mmu,hivyo kupitia ukurasa huu nichukue fursa hii kukupa pole sana kwa ndoa yako kuvunjika na kwa maumivu ya mwili unayougulia.Kwa kweli najisikia vibaya sana kwa tukio hili na ninakuahidi kusimama bega kwa bega na wewe katika kipindi hiki kigumu sana katika maisha yako.Kilichotokea kwa kweli lilikuwa ni jambo la bahati mbaya sana na sikutaraji penzi letu ligundulike kwa mmeo.Mimi na wewe tungejuaje kuwa kipande cha pakiti ya kitendea kazi kingeganda mgongoni mwako hadi hadi kupelekea uliporudi nyumbani mmeo akione wakati unajiandaa uingie bafuni? it was indeed a freak accident.Ghadhabu ya mmeo iliyompelekea akupige hadi ulazwe na kisha akuletee talaka yako wodini naielewa,kikubwa bora uzima.
Pamoja na kwamba hali hairuhusu mimi na wewe kuoana lakini naahidi kukusaidia uweze kusimamia miguu yako mwenyewe,kwanza tugange maumivu.
I still love you,
Bishanga Abashaija.
 
teh wazinzi bwana
mke wa mtu unagawa tunda mmu?
loh
 
Usijali.... Nimekusamehe B'. Ningeandika mengi ila kipigo kilifanya kidole changu cha kati kuvunjika hivo naandika kwa maumivu makaliiii.... I am Sorry mie it was for fun and I still Love "HIM" Bado nipo kumbembeleza... nilikua sijitambui wakati nipo na wewe naona tu mapepo yaliniingia.
 
teh wazinzi bwana
mke wa mtu unagawa tunda mmu?
loh

Unashangaa nini? Mbona wake za watu wanafumuliwa tu bila wasiwasi, cha muhimu ni usiri wa hali ya juu. Kwa Mwanza kama mtu unakaa Ilemela ukitaka kumchapa mke wa mtu mpost Magu au Geita huko!
 

Yaani mwenzio hajapona wewe unaanza kumtangazia kuwa kapoteza kote kote? Halafu unajidai eti bado unampenda??

Au ni maandalizi ya kumtayarisha mwenzio awe pozeo la kudumu?

Babu DC!!
 
He he he he, lako hilo, itabidi uoe mke wa pili.

Na wewe alikuumiza? sehemu gani? kwa nyenzo gani?
umeanza! kwanza nani kakuita kwenye thread yangu? mlango huoooo timka uende kuleeee ulikofungua uzi chichat.
 
teh wazinzi bwana
mke wa mtu unagawa tunda mmu?
loh
we nae,nshakwambia tulifahamiana kupitia mtu niliyemfahamia mmu.
btw jamaa yako hajambo? mpua keshaupunguza?
 
Yaani mwenzio hajapona wewe unaanza kumtangazia kuwa kapoteza kote kote? Halafu unajidai eti bado unampenda??

Au ni maandalizi ya kumtayarisha mwenzio awe pozeo la kudumu?

Babu DC!!

Huyo tayari keshakuwa nyumba ndogo, ila tabia haina dawa! ataendelea kuchapwa na wengine!
 
mmmmmhhhh???????
 
Yaani mwenzio hajapona wewe unaanza kumtangazia kuwa kapoteza kote kote? Halafu unajidai eti bado unampenda??

Au ni maandalizi ya kumtayarisha mwenzio awe pozeo la kudumu?

Babu DC!!


Umeona mzee DC? Hasa ndio malengo yake.... "pozeo la kudumu" lol.

Atleast hata kamwandikia huu waraka.. maana mwingine hata salam isingekuwepo.

Mzima wewe?
 
Ndo maana mi sipendi kutumia condom!
halafu usiombe hasa hizi pakiti za rough rider,zina kagundi flan kwa ndani,vipande vyake havikawii kuganda kwenye nguo au mwilini,thats what happened to her.
 
umeanza! kwanza nani kakuita kwenye thread yangu? mlango huoooo timka uende kuleeee ulikofungua uzi chichat.
Sasa na utangaze lini utamuoa huyo mdada wa watu uliyemvunjia ndoa yake!
 
Mjue Mungu ili uwe na amani na hayo yote hayatakupata Bishanga!
 

Mapepo mbona yanakoma...tunayasingizia hata mambo yasiyowahusu.
 
dah uzinzi huu utawamaliza kudadeki mke wa mtu unakuwa si mwaminifu nawe unayechukua mke wa mtu huogopi vip angekuwa mkeo ungefanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…