Waraka kwa mke wa mtu (ex)

halafu usiombe hasa hizi pakiti za rough rider,zina kagundi flan kwa ndani,vipande vyake havikawii kuganda kwenye nguo au mwilini,thats what happened to her.

Kumbe wewe ni mtumiaji mzuri wa hiyo kitu. Inaelekea unacheza mechi za ugenini nyingi sana.
 
Yaani mwenzio hajapona wewe unaanza kumtangazia kuwa kapoteza kote kote? Halafu unajidai eti bado unampenda??

Au ni maandalizi ya kumtayarisha mwenzio awe pozeo la kudumu?

Babu DC!!
sasa nifanyeje Mkuu wakati najua la kuoana haliwezekani na mzee keshamwaga,nitakachofanya nitamfungulia biashara.
 

AshaDii mapepo gani hayo yaloingia?
 
:mad2::mad2::mad2:......Naenda kukusemea kwa braza
 
Ina maana alitembea njia yote na bila kuoga?
ndugu yangu hutu tuvipande tuna kagundi flan,alioga lakini its like wakati ananyanyua nguo avae ndo kilipeperuka kikagandia,we acha tu.
 
Umeona mzee DC? Hasa ndio malengo yake.... "pozeo la kudumu" lol.

Atleast hata kamwandikia huu waraka.. maana mwingine hata salam isingekuwepo.

Mzima wewe?
sina jinsi.
 
Sasa na utangaze lini utamuoa huyo mdada wa watu uliyemvunjia ndoa yake!
hali hairuhusu bana,nitamtunza lakini na nitamwendeleza kimaisha kwa kumfungulia biashara.
 
dah uzinzi huu utawamaliza kudadeki mke wa mtu unakuwa si mwaminifu nawe unayechukua mke wa mtu huogopi vip angekuwa mkeo ungefanya nini
udhaifu ndugu yangu binadamu tumeumbwa dhaifu.
 
Ndahani nilitereza... What do I tell my man? Kua I was curious and wanted to have a taste of B'? I don't think so... Mapepo in this matter ni best option.... lol

Haaahaaa.....I understand na ndio maana sielewi mtu anayeshindwa kusamehe wakati wote matatizo yetu kama yanalingana...halafu unajua majani yanaonekana ya kijani zaidi upande wa pili....ingawa ukivuka sasa sio lazima ukakutana na majani ya kijani. Macho yanaweza kuwa yamekudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…