Yaani mwenzio hajapona wewe unaanza kumtangazia kuwa kapoteza kote kote? Halafu unajidai eti bado unampenda??
Au ni maandalizi ya kumtayarisha mwenzio awe pozeo la kudumu?
Babu DC!!
Jamani mimi hata sijielewi... Sijui hata ilikuaje... Kwanza hata sikumbuki kama nilifanya....
PA... Welcome back bro (kakako ana stress please leave him alone.... he is hurting)
Haaahaaa.....I understand na ndio maana sielewi mtu anayeshindwa kusamehe wakati wote matatizo yetu kama yanalingana...halafu unajua majani yanaonekana ya kijani zaidi upande wa pili....ingawa ukivuka sasa sio lazima ukakutana na majani ya kijani. Macho yanaweza kuwa yamekudanganya.
hahaha Ashadii bwana Bishanga alikuwekea Libwata nadhani kama hukumbuki matukio
Bora ushangae na wewe wifi...huyu Bishanga aseme wamekutwa live bila chenga!Alafu tuache mzaha Ndahani... mie nashindwa elewa... unashikwa ugoni sababu tu una ganda la rubber lipo mgongoni? yaani alishindwa kabisa jitetea?
Umeona mzee DC? Hasa ndio malengo yake.... "pozeo la kudumu" lol.
Atleast hata kamwandikia huu waraka.. maana mwingine hata salam isingekuwepo.
Mzima wewe?
Bora ushangae na wewe wifi...huyu Bishanga aseme wamekutwa live bila chenga!
Alafu tuache mzaha Ndahani... mie nashindwa elewa... unashikwa ugoni sababu tu una ganda la rubber lipo mgongoni? yaani alishindwa kabisa jitetea?
Shikamoo!Roho za marehemu wapate Rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani.
AMINA!
Na joto la dar ahhhhh na daladala wacha kabisaIna maana alitembea njia yote na bila kuoga?
Tukutane Hyatt Level 8 kuna wawekezaji wanataka kuwekeza Ibwera Busaiziwe TF wewe,ulipotelea wapi?
na umbea umeanza lini?
na Husn msharudiana baada ya kuachana kisa mnagombea sadaka?