Kwa hiyo hata mke wa mtu utaenda naye bila condomu. Sema ninachowashangaa hawa jamaa ni kimoja tu. Ina maana baada ya game hawakuoga? Ilikuwa hicho kipakiti cha kitendea kazi kigande mgongoni na kisijulikane. Bila shaka hawakuoga, na hapo tena linakuja swali lingine, mke wa mtu utoke guest bila kuoga, unategemea nini?Ndo maana mi sipendi kutumia condom!
Roho za marehemu wapate Rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani.
AMINA!
Hahaha, kweli mpaka ifike sa 7 kamili atasema ukweli!hahaha... Story inaenda ikibadilika eeeh? lol. He is crazy huyu B' wetu, No wonder hua tunam Miss... Hata wewe SL Ulipotea wifi yangu...
sasa nifanyeje Mkuu wakati najua la kuoana haliwezekani na mzee keshamwaga,nitakachofanya nitamfungulia biashara.
Utajibeba baba!...vishawishi mama vishawishi,kila ukisema staki niniliyu inasema nataka,kaaaazi kweli kweli.
wewe ungejitetea na kipande kimekuganda mgongoni? embu wape twisheni wazinzi watarajiwa najua watapitia hapa.Alafu tuache mzaha Ndahani... mie nashindwa elewa... unashikwa ugoni sababu tu una ganda la rubber lipo mgongoni? yaani alishindwa kabisa jitetea?
utasema kila kitu.......Unajua tulikutana samaki samaki, tukaona it is not bad tukikaa tupeane salam na kubadilishana mawazo ya hapa na pale... The next thing I know nipo kwenye Taxi naelekea nyumbani... naona atakua alini drug. I have tu sue! lol
Shikamoo!
Mwambie huyo manake tutaja mkosa hivi hivi...
Tobaaa, kwa kosa gani mpaka unipe likizo?We uko kwenye likizo ya kuongea na mimi.
Sikupendi tena.
hivi bado upo? ngoja nikufungulie RB kwa PAW.