Unashangaa nini? Mbona wake za watu wanafumuliwa tu bila wasiwasi, cha muhimu ni usiri wa hali ya juu. Kwa Mwanza kama mtu unakaa Ilemela ukitaka kumchapa mke wa mtu mpost Magu au Geita huko!
We uko kwenye likizo ya kuongea na mimi.
Sikupendi tena.
Haya mtaalamu endelea..a wapi! mi mtaalam bana.
Tukutane Hyatt Level 8 kuna wawekezaji wanataka kuwekeza Ibwera Busaizi
Kwa hiyo hata mke wa mtu utaenda naye bila condomu. Sema ninachowashangaa hawa jamaa ni kimoja tu. Ina maana baada ya game hawakuoga? Ilikuwa hicho kipakiti cha kitendea kazi kigande mgongoni na kisijulikane. Bila shaka hawakuoga, na hapo tena linakuja swali lingine, mke wa mtu utoke guest bila kuoga, unategemea nini?
eti eh! maushauri ya nguvu haya,thanks.Walau mnawataarifu wana JF kuwa ninyi ni mashuhuri na mnazingatia matumizi ya kondomu. Lakini pia huo ni uzembe. Ina maana hukumkagua? Lakini naye mwanamke hatosheki na mmewe. Kazi kwake! Hata ukimchukua, atagawa tu kwa wengine. Hiyo ndo tabia yake. hawezi kuiacha. Nawe kidume kumbuka mke wa mtu ni sumu!
Hahahaha!! Itabidi tufanye feasibility study kunaweza kuwa na uranium huko..cheki na Dark CityHaaahaa! Siyo nyumbani Katoma?
DC bana,maji yashamwagika,sasa what is the best i can for her,angalau ku mitigate kidogo hii hali?Nani kakueleza kuwa hitaji lake kuu ni biashara?
Kwani wazazi/ndugu zake hawezi kumfungulia? Why not think beyond that?
Au na wewe unataka kukata kamba kwa sababu security yake aliyokuwa anatumia kuombea mikopo kwako ime-expire?
Babu DC!!
sasa ndugu yangu ukifika nyumbani wakati wa kuchojoa unazima taa au unamwambia mwenza afunge macho.Bishanga,
Hivi huwa mkifika nyumbani mnakaguliwa/kaguana kabla ya kwenda kuoga,... tena bila kujali kama kuna mtu katoka machinjioni, with potentials of carrying blood taints?
Kama ni hivyo basi endeleeni tu.....Kweli sie tumepitwa na wakati!!
Babu DC!!
jamani mi nalog off,ngoja niwahi hospitali kumwona mgonjwa.
jamani mi nalog off,ngoja niwahi hospitali kumwona mgonjwa.
Shikamoo Bishanga lol!Darling....... tulifahamiana kupitia mtu niliyefahamiana naye kupitia humu mmu,hivyo kupitia ukurasa huu nichukue fursa hii kukupa pole sana kwa ndoa yako kuvunjika na kwa maumivu ya mwili unayougulia.Kwa kweli najisikia vibaya sana kwa tukio hili na ninakuahidi kusimama bega kwa bega na wewe katika kipindi hiki kigumu sana katika maisha yako.Kilichotokea kwa kweli lilikuwa ni jambo la bahati mbaya sana na sikutaraji penzi letu ligundulike kwa mmeo.Mimi na wewe tungejuaje kuwa kipande cha pakiti ya kitendea kazi kingeganda mgongoni mwako hadi hadi kupelekea uliporudi nyumbani mmeo akione wakati unajiandaa uingie bafuni? it was indeed a freak accident.Ghadhabu ya mmeo iliyompelekea akupige hadi ulazwe na kisha akuletee talaka yako wodini naielewa,kikubwa bora uzima.
Pamoja na kwamba hali hairuhusu mimi na wewe kuoana lakini naahidi kukusaidia uweze kusimamia miguu yako mwenyewe,kwanza tugange maumivu.
I still love you,
Bishanga Abashaija.
Mweeeeeee!Usijali.... Nimekusamehe B'. Ningeandika mengi ila kipigo kilifanya kidole changu cha kati kuvunjika hivo naandika kwa maumivu makaliiii.... I am Sorry mie it was for fun and I still Love "HIM" Bado nipo kumbembeleza... nilikua sijitambui wakati nipo na wewe naona tu mapepo yaliniingia.