Waraka kwa mke wa mtu (ex)

Jamani tuacheni haya mambo,kama mtu ameshaolewa/kuoa awe sumu, na sisi tusaidie ndoa zisimame na si kushiriki katika kuzivunja, this thread may be a joke but for sure hiki kitu kinatesa ndoa nyingi, ni shetani chronic sana huyu katika ndoa na maisha kwa ujumla......tujiheshimu jamani, kama hutaki kuoa/kuolewa tafuta njia nyingine kukidhi haja yako na si wake/waume za watu,however much you jump around hakuna jipya DUDE, ishi maisha matakatifu na uyafurahie!!:target:
 
Nishamjua unayemsema................................
We ngoja mumewe apite humu, na mida yake ya kuchungulia JF-MMU ni usiku akirudi kazini................Akiukuta huu uzi...............! Kesho tutasema RIP Baishanger......................LOL
 
marhaba,hujambo binti Mtambuzi? mbona hunipi pole?
Mbona umetumia lafudhi ya kipemba kama unamtongoza............? Nafuatilia sana nyendo zake huyu binti, ole wako nikusikie!
 
sasa ndugu yangu ukifika nyumbani wakati wa kuchojoa unazima taa au unamwambia mwenza afunge macho.
mi naona tunajivuliaga tu na likitokea la kutokea kama hili ndo basi tena.

Kama unajua wewe ni casualty, huwezi kubehave kama mtu mzima. Vinginevyo unakaribisha vita isiyo ya lazima kama mlivyofanya hapo!!
 
Perfect!!

Hayo ndiyo yanayotokea mara nyingi kwenye infidelity.... kutokana na mfumo dume, women are bound to lose

Bishanga kabwaga manyanga, mama kaambulia kipigo, kitombo na talaka

INGAWA NI STORY LAKINI SHULE YAKE NI KUBWA MNO KWA JAMII
 
Kweli mkuu,

Nilishawambia hapa jamvini, kuwa cheating is gender sensitive...Hakuna equity kwenye cheating na siku zote wanawake wanabeba mzigo mkubwa...

Laiti wangeyajua hayo!!

Babu DC!!
 
Nishamjua unayemsema................................
We ngoja mumewe apite humu, na mida yake ya kuchungulia JF-MMU ni usiku akirudi kazini................Akiukuta huu uzi...............! Kesho tutasema RIP Baishanger......................LOL
Mmewe hata kutumia kompyuta hajui,usikonde mkuu.
 
Kama unajua wewe ni casualty, huwezi kubehave kama mtu mzima. Vinginevyo unakaribisha vita isiyo ya lazima kama mlivyofanya hapo!!

Anayetembea nje ya ndoa akirudi nyumbani general rule huwa ni behave casual vinginevyo utashtukiwa,kama huwa unavua mbele ya mwenzio inabidi ufanye hivo hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…