Waraka kwa mke wa mtu (ex)

DU! Kwa nini asioge kabla ya kuondoka?au mlikuwa guest za uchochoroni? Mambo yote self contained room.
 


Na bado mengi yatawakuta nyie wapenda vya watu,mungu anayafunua madhambi yetu kwa kila atakae ufunuo
 

.....khaaa! astaghafirulah.....hahahahaha....
 
Bishanga hii kali Mkuu, yani Baada ya Kula Tundi, huyo Mwana Mama hakuoga (Thas why kipande cha kitendea kazi Mgongoni kikaunguza picha).
Next time ukimaliza, tupigie simu sie Wazee wa Mchwechwe tukueleze nn cha kufanya incase kama kuna kitu umeshau
 
Alafu tuache mzaha Ndahani... mie nashindwa elewa... unashikwa ugoni sababu tu una ganda la rubber lipo mgongoni? yaani alishindwa kabisa jitetea?

Usicheze na suprise wewe...
 
Bashaija kwa nn haukufanya ile ya kwetu ya kifagio bana au hamkupima afya.
 
Dah! we kweli mzoefu, kumbe siku hizi hamuendi Nyegezi na Nyakato, ni wilaya hadi wilaya!

Unashangaa nini? Mbona wake za watu wanafumuliwa tu bila wasiwasi, cha muhimu ni usiri wa hali ya juu. Kwa Mwanza kama mtu unakaa Ilemela ukitaka kumchapa mke wa mtu mpost Magu au Geita huko!
 
Bishanga, mnawezaje kumaliza kuzini halafu hata hamuogi?
 
ha ha ha ha....Bishanga banaaa.....hii naona ingefaa kule chit chat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…