Waraka kwa wadada na wakaka mliopo huku

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kama wewe uko Inlove na mtu,huyu mtu asubuhi
hakutafuti yuko bize,ila ikifika usiku,tena usiku wa
manane sa6 huko ndo anaanza kupiga simu na
maswali ya kipuuzi,eti 'umelala'?Sasa unadhani sa6 ntakuwa nachambua mchicha au??Utasikia
nimekumiss amka basi tuongee kidogo KAMA
UNANIPENDA MIMI,khah Kama kweli
unampenda ulikuwa wapi kunifind asubuhi
kunisalimu,au mchana kunikaribisha Lunch???Yaani
utumike huko weeee,sa6 usiku ndo unimiss mimi,unaumwa!Siamki!Haya mahaba ya Vibwengo
siyataki,mapenzi gani ya usiku wa manane,akikupigia
simu mwambie mi sio Kibwengo!Mahabahadi Cheka
time ya bure?Mwishowe niongelee usingizini uniulize
Password za benki bure nitoe siri maana mazungumzo
ya Usingizini unaweza ukasema visivyosemwa unakumbuka ukiamka!Kama unampenda,mtafute
asubuhi au mchana,mahaba ya
usiku waachie Watoto wa sekondari Siamki Ng'oo!
Kwahisani Ya Watu Wa dubai.
 
Mashauzi modern taarabu wanahitaji muimbaji teh
 
hahahahhaaa,,,, mzee wa mipasho.... we ni jinsia gani?
 
Hahahaa eti mapenzi ya vimbwengo..nimecheka sana
 
Nane usiku mmhh atakuwa mwanga tu huyo. Bora nilale nipige kimoja cha usingizini, kuliko kufanywa simu ya Tecno wakati najiona mwenyewe iphone[emoji12]
 
Hahaahahaha mi kuna siku nimepigiw simu usiku nikaanza kuongea yasioleweka
 
....mwisho unachanganya mafolder bila kutegemea...na mahusiano hapo hapo yanabakia stori tu kwamba tulikuaga
Yaan kesho yake nikasimuliwa aiseee nilicheka sana tokea hapo simu usiku sana sipokei labda iwe ya mupenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…