Uchaguzi 2020 Waraka kwa watumishi wa Umma kuelekea Uchaguzi Mkuu

kavyilu

Member
Joined
Dec 14, 2019
Posts
28
Reaction score
53
Kada ya watumishi ndiyo injini inayoendesha na kutekeleza kazi za serikali.

Wanasiasa wote hata wanapojibu vizuri maswala mbalimbali basi majibu wanayatoa kwa watumishi wa Umma.

Watumishi wana haki na wajibu
Wajibu wao ni kufanya kazi kwa mujibu wa sheria.

Watumishi wa Umma katika awamu ya tano wamefanya kazi kubwa ya kuongeza mapato hadi kuvunja rekodi ya tawala zote zilizopita.

Kulinda mipaka ya nchi na amani ndani ya nchi yetu

Kufanikisha shule za umma kutia elimu nzuri kiasi cha kuziacha mbali shule za matajiri

Ujenzi wa miundombinu ya barabara,reli na Stiglers zote ni matikeo ya kazi nzuri ya watumishi.

Hospital za umma zimefurika wagonjwa wa kila aina,lakini madaktari wanawatibu bila kuchoka.

Mazuri yote hayo ndiyo jeuri ya serikali ya awamu ya tano.
Kwanini hawapewi nyongeza ya mshahara?

Kwa miaka mitano sasa tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani,Rais Magufuli aliwaahidi watumishi wampe muda ashughulike kwanza na kuondoa watumishi hewa,pia aliwataka wajitume ili kukuza mapato ya nchi yetu.

Ni ukweli usiofichika kuwa watumishi walikubaliana na rai ya Rais Magufuli,watumishi wakajituma kufanya kazi usiku na mchana,kufanya kazi hadi siku za mapumziko ya mwisho wa wiki na hata wakati wa sikukuu.

Ni jitihada za watumishi ndizo zimeipeleka nchi kuwa nchi ya kipato cha kati.

Kwanini hawaomgezwi mishahara?

Hivi bei ya vitu ipo vilevile kama ilivyokuwa 2015,2016,2017,2018,2019?

Bei ya sukari haijapanda?

Kodi ya Nyumba haijapanda?

Bei ya mafuta ya kupikia haijapanda?

Nauli kwenye magari?

Bei ya petroli ipo vilevile?

Chumvi,Samaki,Nyama,Maharage,Mkaa na gesi havijapanda?

Bei ya supu,chai ,chapati vipo kama 2015?

Bila shaka hata asiefanya mahemezi atakubaliana na mimi kwamba vimepanda,

Kama mahitaji yote muhimu yamepanda kwanini Rais Magufuli hajawapandisha mishahara watumishi wa umma?

Nakumbuka Rais Kikwete alioneza Mishahara mara 7 katika utawala wake.

Kila Mgaya akihoji nyongeza Jakaya alifanya jambo la kuwafariji watumishi kwa karibu kila mwaka katika utawala wake.

Hakuishia kuongeza tu mishahara,aliongeza kima cha chini . Nikisema hivi watumishi wanaelewa namaanisha nini.

Kwanini Rais Magufuli kwa Miaka mitano ya kukuza uchumi,wakuzaji wa uchumi hawakumbuki?

Uhakiki bado unaendelea au ameamua kuwapuuza watumishi?

Kuna hoja ilisikika kuwa Ameongeza mishahara kwa walimu,alichofanya sio nyongeza,alichofanya ni kupinguza kodi kutoka 11% kuwa 9% hiyo siyo nyongeza,ndio maana Salary slip inabaki na basic Salary ileile.

Yaani kama unataka kustaafu,ukapunguziwa kodi haiathiri kiinua mgongo cha mtumishi,huwezi kuita hiyo ni nyongeza.

Upi uwe Mwelekeo wa watumishi kuelekea uchaguzi Mkuu?

Kila kundi lina maslahi yake
Watumishi wanahitaji mambo
1.Nyongeza ya Mshahara

2.Kupandishwa madaraja kwa wanaostahili

3.Kulipwa malimbikizo ya
mishahara,matibabu na Likizo .

4.Kufuta kabisa wazo la kikokotoo cha kinyonyaji ambacho CCM kupitia mgombea wao wameahidi kukirudisha 2023.

5.Bima kwa watumishi iwe kwa idadi maalum ya watu wanaomtegemea mtumishi,sio kudai kuwa ni watoto wanne,mke,na Wazazi wawili ,hii ni sheria ya kibaguzi mno,wapo watumishi hawana Baba na Mama,hawakujaaliwa watoto,lakini wanawazee ambao si baba zao na ndio waliowasomesha mpaka kupata kazi,kwanini wanyimwe haki ya bima wakati mtumishi anachangia kama achangiavyo yule mwenye baba na Mama,Mke/Mume ,na mwenye watoto?

Hapa hoja iwe ni fixed number of dependants na sio kuwataja wakati unajua wapo watu hawana watu wabaina hiyo.

Wagombea wenye nguvu ni wawili,Lisu na Magufuli

Magufuli ni mtu wa action sana,na akisema huwa anamaanisha,lakini kwa watumishi amekuwa mzito sana kuwapa haki yao,
Vyama vya wafanyakazi vimesha wekwa kwenye kona,Mabosi wa watumishi wao wanalipwa Super scale(Mishahara minono) kwahiyo hapa tunazungumzia watumisha wa level ya chini.

Magufuli kwenye kampeni kaahidi Avumiliwe tena japo hakutaja mpaka lini lakini inaweza kuwa 2025 mwezi Julai

Lissu Kaahidi akiapishwa tu ataanza kulipa stahiki watumishi walizopunjwa kwa miaka mitano yote na Nyongeza ya mishahara itakuwa kila mwaka wa fedha.

Kwakuwa Magufuli haoni umuhimu wa watumisha katika nyongeza ya mshahara,jwakuwa yupo madarakani na anakusanya napato makubwa haijawahi kutokea lakini watumishi hawaongezewi mishahara na madaraja basi Lissu anaweza kuwa rafiki mzuri wa watumishi kama alivyokuwa Rais Kikwete.

Watumishi kuanzia sasa hamasishaneni kuhakikisha Lissu anaongoza nchi.

Lissu abaki anatafutwa kuungwa mkono na makundi mengine,lakini kundi la watumishi itoshe kusema Lissu huenda akathamini utu wa watumishi,akajali maslahi yao.

Wale watumishi wanaoendekeza siasa za hovyo nawaambia kuwa siasa ni maisha.

Mtawala anaweza kudhoofisha maisha yako au akaboresha maisha yako.

Kwakuwa Jamii na makundi mengine kama wakulima,Wanafunzi na wafanyabiashara wanaamini mawazo ya watumishi basi kila mtumisha aanze kuishawishi familia yake kuwa maisha magumu ya familia ni kwakuwa hajaongezewa mshahara.
 
Magufuli analipa kisasi kwa civil servants imagine yeye mkewe na waziri mkuu walikuwa walimu lakini ona walichowafanyia wenzao. Adui wa mwl ni mwl.
 
Nilikuwa nau - ignore Uzi wako lakini kumbe umebeba madini ya TANZANITE tupu...

Asante sana kwa uchambuzi mzuri. Mimi na nyumba yangu pamoja na STAFF wenzangu ktk taasisi tunayoifanyia kazi tulishamkataa Magufuli na CCM kitambo mara baada ya kuwaondoa kazini mwaka 2016 wenzetu kadhaa eti kwa sbb ya vyeti na baadhi yao ikawa tiketi yao ya kifo kwa mshtuko na tumewazika ..!

We are going to vote for TUNDU A.M. LLISSU....
 
Tutamchagua mgombea yeyote yule, isipokua tu Magufuli! Huyu atapigiwa kura na yale madege yake aliyonunua.
 
Wafanyakazi ( walimu, wajeda ,watumishi mbali mbali), waliofukuzwa kazi, mama ntilie, boda boda, wamachinga, waliokosa ajira na wanyonge wote hao wanawachora tu. Ila yaliyopo moyoni ni kwenye sanduku la kura , pale meza itakopogeuzwa juu chini.

Tuendelee kupiga kampeni ,. Mwaka huu mtapigwa chini kimya kimya.
 
TATIZO KUBWA NI UZEZETA NA UTAAHIRA WA WATZ WALIO WENGI.

hadi leo wanaaminishwa kuwa vyama pinzani huleta vita, nao huamini. Aibu
Ccm imewekeza sana kwenye kuwafanya watu mazezeta. Wewe angalia comment au threads wanazozianzisha wafuasi wake then utaelewa ukubwa wa tatizo.
 
Unamkuta kijana yuko mjini ila mawazo yake hayana tofauti na ya bibi yake wa kule kijijini Nanjilinji.
 
Jiwe akiwa jukwaani uwa sijuhi anamuongelea munyonge wa wapi? Maana mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
 
Umeongea vyema sana.
Kada ya watumishi ndiyo injini inayoendesha na kutekeleza kazi za serikali.

Wanasiasa wote hata wanapojibu vizuri maswala mbalimbali basi majibu wanayatoa kwa watumishi wa Umma.

Watumishi wana haki na wajibu
Wajibu wao ni kufanya kazi kwa mujibu wa sheria.

Watumishi wa Umma katika awamu ya tano wamefanya kazi kubwa ya kuongeza mapato hadi kuvunja rekodi ya tawala zote zilizopita.

Kulinda mipaka ya nchi na amani ndani ya nchi yetu

Kufanikisha shule za umma kutia elimu nzuri kiasi cha kuziacha mbali shule za matajiri

Ujenzi wa miundombinu ya barabara,reli na Stiglers zote ni matikeo ya kazi nzuri ya watumishi.

Hospital za umma zimefurika wagonjwa wa kila aina,lakini madaktari wanawatibu bila kuchoka.

Mazuri yote hayo ndiyo jeuri ya serikali ya awamu ya tano.
Kwanini hawapewi nyongeza ya mshahara?

Kwa miaka mitano sasa tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani,Rais Magufuli aliwaahidi watumishi wampe muda ashughulike kwanza na kuondoa watumishi hewa,pia aliwataka wajitume ili kukuza mapato ya nchi yetu.

Ni ukweli usiofichika kuwa watumishi walikubaliana na rai ya Rais Magufuli,watumishi wakajituma kufanya kazi usiku na mchana,kufanya kazi hadi siku za mapumziko ya mwisho wa wiki na hata wakati wa sikukuu.

Ni jitihada za watumishi ndizo zimeipeleka nchi kuwa nchi ya kipato cha kati.

Kwanini hawaomgezwi mishahara?

Hivi bei ya vitu ipo vilevile kama ilivyokuwa 2015,2016,2017,2018,2019?

Bei ya sukari haijapanda?

Kodi ya Nyumba haijapanda?

Bei ya mafuta ya kupikia haijapanda?

Nauli kwenye magari?

Bei ya petroli ipo vilevile?

Chumvi,Samaki,Nyama,Maharage,Mkaa na gesi havijapanda?

Bei ya supu,chai ,chapati vipo kama 2015?

Bila shaka hata asiefanya mahemezi atakubaliana na mimi kwamba vimepanda,

Kama mahitaji yote muhimu yamepanda kwanini Rais Magufuli hajawapandisha mishahara watumishi wa umma?

Nakumbuka Rais Kikwete alioneza Mishahara mara 7 katika utawala wake.

Kila Mgaya akihoji nyongeza Jakaya alifanya jambo la kuwafariji watumishi kwa karibu kila mwaka katika utawala wake.

Hakuishia kuongeza tu mishahara,aliongeza kima cha chini . Nikisema hivi watumishi wanaelewa namaanisha nini.

Kwanini Rais Magufuli kwa Miaka mitano ya kukuza uchumi,wakuzaji wa uchumi hawakumbuki?

Uhakiki bado unaendelea au ameamua kuwapuuza watumishi?

Kuna hoja ilisikika kuwa Ameongeza mishahara kwa walimu,alichofanya sio nyongeza,alichofanya ni kupinguza kodi kutoka 11% kuwa 9% hiyo siyo nyongeza,ndio maana Salary slip inabaki na basic Salary ileile.

Yaani kama unataka kustaafu,ukapunguziwa kodi haiathiri kiinua mgongo cha mtumishi,huwezi kuita hiyo ni nyongeza.

Upi uwe Mwelekeo wa watumishi kuelekea uchaguzi Mkuu?

Kila kundi lina maslahi yake
Watumishi wanahitaji mambo
1.Nyongeza ya Mshahara

2.Kupandishwa madaraja kwa wanaostahili

3.Kulipwa malimbikizo ya
mishahara,matibabu na Likizo .

4.Kufuta kabisa wazo la kikokotoo cha kinyonyaji ambacho CCM kupitia mgombea wao wameahidi kukirudisha 2023.

5.Bima kwa watumishi iwe kwa idadi maalum ya watu wanaomtegemea mtumishi,sio kudai kuwa ni watoto wanne,mke,na Wazazi wawili ,hii ni sheria ya kibaguzi mno,wapo watumishi hawana Baba na Mama,hawakujaaliwa watoto,lakini wanawazee ambao si baba zao na ndio waliowasomesha mpaka kupata kazi,kwanini wanyimwe haki ya bima wakati mtumishi anachangia kama achangiavyo yule mwenye baba na Mama,Mke/Mume ,na mwenye watoto?

Hapa hoja iwe ni fixed number of dependants na sio kuwataja wakati unajua wapo watu hawana watu wabaina hiyo.

Wagombea wenye nguvu ni wawili,Lisu na Magufuli

Magufuli ni mtu wa action sana,na akisema huwa anamaanisha,lakini kwa watumishi amekuwa mzito sana kuwapa haki yao,
Vyama vya wafanyakazi vimesha wekwa kwenye kona,Mabosi wa watumishi wao wanalipwa Super scale(Mishahara minono) kwahiyo hapa tunazungumzia watumisha wa level ya chini.

Magufuli kwenye kampeni kaahidi Avumiliwe tena japo hakutaja mpaka lini lakini inaweza kuwa 2025 mwezi Julai

Lissu Kaahidi akiapishwa tu ataanza kulipa stahiki watumishi walizopunjwa kwa miaka mitano yote na Nyongeza ya mishahara itakuwa kila mwaka wa fedha.

Kwakuwa Magufuli haoni umuhimu wa watumisha katika nyongeza ya mshahara,jwakuwa yupo madarakani na anakusanya napato makubwa haijawahi kutokea lakini watumishi hawaongezewi mishahara na madaraja basi Lissu anaweza kuwa rafiki mzuri wa watumishi kama alivyokuwa Rais Kikwete.

Watumishi kuanzia sasa hamasishaneni kuhakikisha Lissu anaongoza nchi.

Lissu abaki anatafutwa kuungwa mkono na makundi mengine,lakini kundi la watumishi itoshe kusema Lissu huenda akathamini utu wa watumishi,akajali maslahi yao.

Wale watumishi wanaoendekeza siasa za hovyo nawaambia kuwa siasa ni maisha.

Mtawala anaweza kudhoofisha maisha yako au akaboresha maisha yako.

Kwakuwa Jamii na makundi mengine kama wakulima,Wanafunzi na wafanyabiashara wanaamini mawazo ya watumishi basi kila mtumisha aanze kuishawishi familia yake kuwa maisha magumu ya familia ni kwakuwa hajaongezewa mshahara.
Itashangaza sana safari hii watumishi wakifanya majaribio ya kudhania kuwa Magufuli atawapa mishahara yao. Hilo wasahau.

Back
Top Bottom