Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kwa heshima kubwa kabisa naomba urudishe ile avatar yako ya awali,ile avatar huwa inavutia sana ukiwa unadhurura huku na huko hapa jf,,,kile kigauni chekundu na vilee viguu vya yule dada mtu huchoki kabisa katika matembezi ya humu jamvini,
Naomba ukarudishe hata kwa kuja na fake accnt inayocomment mara kwa mara ili ki avatar kijitokeze kila nipitapo
Asante
Naomba ukarudishe hata kwa kuja na fake accnt inayocomment mara kwa mara ili ki avatar kijitokeze kila nipitapo
Asante