Waraka kwako shunie

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Kwa heshima kubwa kabisa naomba urudishe ile avatar yako ya awali,ile avatar huwa inavutia sana ukiwa unadhurura huku na huko hapa jf,,,kile kigauni chekundu na vilee viguu vya yule dada mtu huchoki kabisa katika matembezi ya humu jamvini,

Naomba ukarudishe hata kwa kuja na fake accnt inayocomment mara kwa mara ili ki avatar kijitokeze kila nipitapo


Asante
 
Aiseeee
Mkuu nimechoka kuweka avatar za watu nimeamua kujiweka mwenyewe jaman utaizoea tu na hii taratibu jaman mbona unanipa mtihani mpaka thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…