Dada jaman na wewe piaShunie tunaomba gauni la Valentine likuje
Lilitoka unguja visiwani
Aiseee
Shkamoo
Khaaaa Zanzibar wanavaa mabaibui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] marhaba nahisi wewe ubuyu uliupokea kutoka kwa shemu mpembaa
Nitageuka ahhahahhazard cfc unatuangusha, hii ya sasa hivi ndio nzuri, mwambie tu ageuke. Kugeuka ni rahisi zaidi kuliko kurudisha ile ya zamani.
Mtaizoea jaman na hii
Kile kigauni chekundu kina mvuto wake bana....Mtaizoea jaman na hii
Huogopi kutekwa kwenye new force?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Aiseeee
Mkuu nimechoka kuweka avatar za watu nimeamua kujiweka mwenyewe jaman utaizoea tu na hii taratibu jaman mbona unanipa mtihani mpaka thread
Huu mwaka ni wako kwakweli.Nirudishe tena ya mwanzo
JamaniiiKile kigauni chekundu kina mvuto wake bana....
Ndio mana sitaki kugeukaHuogopi kutekwa kwenye new force?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Woiiiiii na wewe pia jamanHuu mwaka ni wako kwakweli.
Turudishie kale ka avatar
AsanteeeeeHiyo avatar naamini ni wewe asilimia zote. Ila una midomo (lips) nzuri. Hongera Sana. I see!
Ukipita tu unaona gauni linapepeaKweli..hadi nimehisi sipo jf leo
Niljua peke angu kaka mwifwa naomba app ya zaman hii siielewiHahahahahaaaaa
Hata mimi sasa hivi simuoni kabisa
Me nataka ugeuke tu jamaniWoiiiiii na wewe pia jaman
Sawa lakin hauonekan kabisa saiviAiseeee
Mkuu nimechoka kuweka avatar za watu nimeamua kujiweka mwenyewe jaman utaizoea tu na hii taratibu jaman mbona unanipa mtihani mpaka thread
Ahahaha ili nikimbiwe na hii sura ya babaMe nataka ugeuke tu jamani
Ahahha acha mambo zako banaSawa lakin hauonekan kabisa saivi