carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
"Da mange shunie katoa avatar ya kigauni chekundu"Turudishie kabla hatujaenda kumwambia da Mange Shunie katoa kigauni chetu
Sawa dogoWewe rudisha tu
Best nimeamini dunia ya sasa lilia uzuri usililie bahati.....Huu mwaka ni wako kwakweli.
Turudishie kale ka avatar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unawaka waka.... [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Da mange shunie katoa avatar ya kigauni chekundu"
Hide my id
Mbona alizitoa kituko alichotuwekea anajua mwenyewe kila tukimuona tunamwambia atoeNa wewe hizo skonko ukizitoa wallah nitakusahau shost
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]"Da mange shunie katoa avatar ya kigauni chekundu"
Hide my id
Ndio.... nimeamini avatar huwa zina uhalisia [emoji4] [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Abeeh tamuuuuushunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu makopa ya nini kwa mfano
Umeona eeh...Best nimeamini dunia ya sasa lilia uzuri usililie bahati.....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yan hiyo Avatar uliyotoa ni sawa na kuanza na app mpya mashikolomageni
Huyu ni bestie angu mkuu hana tatizo mkuuMkuu makopa ya nini kwa mfano
Wewe mwenyewe ulinipa tabu mwanzoni, ulivyoweka hii avatar yako ya sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Turudishie kigauni chetu bwana wenyewe tulikizoea
Ngoja tuoneNina imani malalamiko yetu yatafanyiwa kazi
@Shunie the Super Star.Mbona mi hii ya saa hii naiona iko sawa tuu.
Sema Shunie angekuwa yuo tube angekuwa ana views billion 1 maana si kwa kufuatiliwa huku
Usichekeee niko silias kabisaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kukirudisha nini tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pale atakapo gundua njia za michepuko mbona atakirudishaa