Waraka kwako shunie

Sasa ile watu walikua wanajua na mie melanin queen wakati ngozi yangu haijulikan nyeusi ama nyeupe nikaamua kuacha kuwavuruga watu. Hapo yenyewe watajua nyuma mashallah kumbe flat screen. Natafuta nyingine itakayoendelea kunifanania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo hiyo usitoe unafanana nayo
 
Ndo ubest wa mabusu ya mgongoni

Mara ya mwisho kupata ban ni lini au hujui kuwa ni kosa kubwa kutaman mke wa mwanajamvi mwenzako hapa jf ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msamehe bestie wangu jaman hana shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…