Pre GE2025 Waraka Mfupi Kwa Mgombea Urais CCM na Mgombea Mwenza

Pre GE2025 Waraka Mfupi Kwa Mgombea Urais CCM na Mgombea Mwenza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
697
Reaction score
1,358
Tayari Chama cha Mapinduzi CCM Kwenye Mkutano wake Mkuu Kimempitisha MH Samia Kuwa Mgombea Urais na Dr Nchimbi Kuwa Mgombea Mwenza,Kule Visiwani Zanzibar Dr Hussein Mwinyi

Rai Yangu Kwa Chama cha Mapinduzi na Jopo lake lote ambalo muda si watakaa kuunda Kamati ta Kuandaa Ilani yao

Ushauri wangu wafanye kama walivyofanya Tume ya Kuandaa DIRA ya Taifa

Wao CCM na Kamati hiyo waende kwa Wananchi wote Bara na Visiwani kuchukua maoni kwenye kuanzia Ngazi ya Kitaifa mpaka kitongoji

Wajue Wananchi wanaitaji kiwe kipaumbere chao Ili kupeuka Kuandaa Ilani ambayo haitekelezeki kama ilivyowai kutokea Mwaka 2000 Kwa Mgombea Marehemu Mkapa

Kamari ya Kuandaa Ilani isijifungue peke yao ndani Bali iende kwa Wananchi

Hii itawasadia Wagombea wao wote kwenda kwa Wananchi kuinadi vizuri maana wao Wananchi ndio waliopendekeza

Rai yangu Kwa Wagombea MH Rais Samia, Mgombea Mwenza Dr Nchimbi na Mgombea Urais Visiwani Dr Hussein Mwinyi, Nyie wote mshiriki kikamilifu Kuandaa Ilani hiyo ambayo kwayo nyie ndo mtaenda kuinadi kwa wapiga Kura nchini kote na Visiwani

ILANI ikiwa imechukua maoni ya Umma na nyinyi kuifanyia kazi hasa Utekelezaji Mzuri na kikamilifu hii itapunguza kero kwa Wananchi

ILANI iwe ambayo imependekezwa na Wananchi wenyewe nyie Wagombea jukumu lenu liwe Utekelezaji Tu

Nawasalisha

Alex Fredrick
+255 758 308494
afredrick59@gmail.com
 
Back
Top Bottom