Nasikia kuna waraka mpya wa upandaji wa madaraja ya cheo na mshahara kuwa ni miaka minne badala ya miaka mitatu?. naombeni ufafanuzi wanajamii wenzangu?
Iwe hata baada ya miaka kumi. Watumishi wengi hakuna wanachofanya kazi ni kufukuzia posho kwenye semina, kongamano na udanganyifu mkubwa katika kutafuta fedha.