Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012

Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012

Danny22

Member
Joined
Jan 14, 2014
Posts
6
Reaction score
6
Tafadhali, kwa yeyote mwenye waraka huo au anayejua maudhui yake naomba anisaidie

Waraka huo unazungumzia:

Utaratibu wa kuomba Kibali cha kurejea katika Utumishi wa Umma

Mara nyingi nafasi za ajira serikalini zinapotoka zinawataka "waombaji waliowahi kuajiriwa serikalini na kuacha kwa sababu mbalimbali wazingatie maelekezo yaliyo kwenye Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012." Kabla ya kuomba ajira.

Natamani kujua content za waraka huo.

Shukran
 
tunasubiri kusoma hapamajibu ya wadau kwa muda sasa na hakuna majibu ina maan ahakuna anaefahamu kuhusu hili
Nafikiri ofisi ya Utumishi ina majibi kuhusu hili.

Tuendelee kusubiri mwenye huo waraka atuwekee hapa
 
Nafikiri ofisi ya Utumishi ina majibi kuhusu hili.

Tuendelee kusubiri mwenye huo waraka atuwekee hapa
Namna ya kupata access sasa,

Maana ni changamoto kupata hii hadi uende huko dodoma nadhani
 
Back
Top Bottom