Waraka wa Maaskofu unabagua mambo

Tulichokiona ni umissionary TU na maslahi yao. Tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondaoka Afrika kwakuwa waliokoka na kuikimbia dhambi ya kupora Mali za wengine, bali waligundua njia nyingine ya kupora bila kelele nyingi.
Ndivyo mnavyofundishwa hivyo madrasa?
 
Mama anachapa kazi kwa manufaa ta taifa. Dua la kuku halimpati mwewe, hawa maaskofu muda wao kuwa kukosa adabu umeisha.
Na watanzania wanajua ni maaskofu mchongo tu wakula hela za madili kama ya escrow na ruzuku za serikali.

Miradi ya serikali inajadiliwa kwenye taasisi zake na bunge ambalo linawakilisha watanzania.
Makanisani, misikitini, hekaluni si mahali pa kujadili miradi ya serikali.
 
Kabisa
 
Wanadhani watanzania ni mazuzu kiasi Cha kushindwa kuelewa kuwa wapinzani ni waunga juhudi kwaajili ya matumbo Yao? Mnamchagua mpinzani kwa taabu nyingi sana lakini hatimae anarudi tena CCM eti kuunga juhudi na kutupilia mbali juhudi za waliomchagua na kulinda kura zake. Wametuchezea sana akina Mrema, marando, lamwai, tumbili, sumaye lowasa, mwita, mtolea, lipumba, ..............

Akina Lissu na Mboe wamepambana sana ili kurejeshewa magari yao, mishahara hayo, mashamba Yao, majumba Yao, pesa zao kwa maslahi yao binafsi.
 
Wanashindwa kuwafanya watu waache dhambi wanadakia hoja za serikali. Waingie kwenye siasa waziwazi ili tuwajue na kuwapima kwa kutumia kipimo sahihi.
 
Wanawaibia waumini wao. Labda aseme kichwa kimoja Cha Padre ni sawa na vichwa 700 vya waumini wao wanaume. Yaani mwanaume mzima anauziwa mafuta ya korie eti ya upako!!!

Kanisa liko Afrika kote, na Watanzania na bara lote la afrika ni maskini sana, watu hawana maji, matibabu na chakula. Kwanini Kanisa halitoi waraka kuhusu umaskini huu unaotokana na uzembe huu wa viongozi? Kama Africa inataka kupiga hatua iyafututilie mbali matawi haya ya ukoloni. Dini hizi zimefika huku kwetu pamoja na wakoloni. Wakoloni walizitumia, wanazitumia na wataemdelea kuzitumia dini hizi kwa manufaa Yao. Wanazitumia dini hizi kutuchagulia viongozi wetu, maendeleo yetu na hata kutuulia viongozi wetu.
 
Waraka wa TEC uliandikiwa waumini waKatoliki ns ndyo maana unasomwa kanisani. Sirikari haikuandikiwa waraka.
 
Waraka wa TEC uliandikiwa waumini waKatoliki ns ndyo maana unasomwa kanisani. Sirikari haikuandikiwa waraka.
Waumini ni raia, serikali Ina maslahi kwa raia wake kuliko kanisa. Katiba yetu wananchi, watu na raia haina waumini. Tanzania Ina watu 60m na haitaki kujua Kuna waumini wangapi. Tanzania tuna mihimili 3 TU hakuna dini Wala dhehebu na watu wooooote ni Mali ya serikali na wanalindwa na kutunzwa na serikali.
 
Tangu lini serikali halali ikatishiwa waraka? Katiba yetu hii ya Nyerere ni hatari sana, Rais anaweza kumwangamiza yeyote yule kama itakavyompendeza bila kushitakiwa na yeyote. Katiba hii ilibarikiwa na Maaskofu lakini Sasa wanaishangaa hata wao. Wacha mama nae aitumie kwanza hiihii kuwanyorosha.
 
Ndivyo mnavyofundishwa hivyo madrasa?
Yaani Katiba ya tangu 1977 iandikwe upya harakaharaka na Samia ili kuwahi uchaguzi wa 2024/25, nyambavu!!! hizi ni bangi. Kwanini hamkumlazimisha Magufuli aiandike harakaharaka kwaajili ya uchaguzi wa 2020? Mnadhani mama ni dhaifu kiasi hicho?
 
Serikali haina dini lakini raia wana dini. Mara ya mwisho nilisikia raia ndio wanamiliki serikari. Inawezekana nilisikia vibaya?
 
Serikali haina dini lakini raia wana dini. Mara ya mwisho nilisikia raia ndio wanamiliki serikari. Inawezekana nilisikia vibaya?
Raia sio waumini, tofautisha hapo. Waumini ni kundi la raia wanaolaghaiwa na kutumiwa na genge la wajanja/wezi/akadabla kwa kutumia jina la Mungu kufanikisha mambo Yao. Kwenye hilo genge wamo pia akina kibwetere na wasabato masalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…